Daima usimdharau usiyemjua, mwenzenu leo nimekutwa na jambo

Hao wachimbaji wa dhahabu. Hapo wamepiga hela sasa
 
Wauza nguo, viatu, simu sijui, watengenezaji keki, wauza maduka ya vipodozi,wapambaji wa maharusi,ma MC, makarani wa sensa( mliopata),ma HR, motivational speakers,HV HUWA MNARINGIA NINI????
 
Ko kijana umenyuka pamba kali za dukani kwako unaanza kudharau wakulima au umesahau mahindi yana bei mwaka huu?
 
Walikukomesha. Qmmmmmmmkkkkk
Next time usirudie. Kimaskini kinawadharau matajiri.
 
Labda ni wachimbaji wa Madini. Swali, kwanini umzarau mtu Kwa mwonekano wake na si matendo?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hi tabia wanayo Sana watanzania, Kuna mwaka nilienda bank nipo rafurafu nilitokea kwenye pilika, Basi wengi walikuwa wanaweka vizuri mikoba yao ya pesa, walihisi jambazi au kibaka kaingia, Mara akiingia mshkaji tulifanya biashara kaja kutulipia mzigo wa haja benki, aisee wakabakia na mshangao, maana ilimwagwa miburungutu ya pesa,
 
Iliwahi nitokea hii Tabora... nilikua bank akaingia huyo babu mchafu lakini alipoinua koti kuelekea kwa teller niliduwaa!!
 
Ulijukosesha kaz ya Usalama kijinga[emoji16][emoji38][emoji38]
 
Ulijukosesha kaz ya Usalama kijinga[emoji16][emoji38][emoji38]
Sidhani, kwa miaka ile kazi ya usalama haipatikani kwa style ile wewe...jamaa alitaka nifungue kioo. Na ilibidi nifungue.
 
Ukiwa kawaida watu wanakuona kama haupo sawa ila mwishowe ndio wanapata majibu halisi.
Wengi wanajua ukienda mjini lazima uoge na upendeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…