i know for sure that isn't pure gold akadanganye wajinga
umeongea kidaslaam...utakuwa mkinondoni tu wewe!...mzee wa kuongeza sifuriUsikute hata sio Gold , maana Diamond ni mtu wa kujiongeza .... Mzee wa miongezeko
Watu wana wivu wa kijinga... tatizo la JF wengi wanajifanya wajanja lakini wengi wao ni washamba na hata ufahamu ni mdogo... c ajabu wala hawafahamu nini maana ya gold plated material na wala hawafahamu kuna material zingine zinaitwa gold filled! Good enough, mwenyewe ameweka wazi kwamba ni gold plated!! Yaani hapa wengine inaonesha wazi hata chemistry ya form iii kuhusu mambo ya electrolysis iliwapiga chenga!!!Hata kama hampendi jaribuni kuelewa,kaandika GOLD PLATED!!!!! Au hamjui maana take?!!
Ukuta chini!!!au mchanga ulikuwa mwingi?
Ila binamu ingawa domo simkubali kabisa ila hapa Ametisha! Kanifurahisha sana kwa kweli....anakula matunda ya kazi yake.Kumbe mziki unalipa sana ee, sasa crew yote ile inalipwaje? Mhuuu
Basi una roho ya umaskini inakuandama.... Yaani mtu atumie cha shimo wakati account inaruhusu atumie cha gold!!!saaaaaaaaaaaaaaana tu....mbona watz wengi ndivyo tunavyotumia,au kwenu unatumia cha gold km chake?
Binamu una undugu na Dougie Mchawi! Mfyuuu zake amekosa hata la kuongea anabaki kujijambia jambia tu.Alie na mola wake hana maisha wala kipaji anabaki kutukana watu wenye maisha yao when she has a misarable life....
Nashangaa... ndo maana kuna mtu nikamweleza usidhani kila anayepanga hana nyumba! Mtu ananunua coaster anafanya daladala na yeye akienda town anapanda daladala wakati pesa aliyonunulia coaster ingetosha kununulia angalau vitz akawa anatembelea instead!
Nyumba ipi tena mpwa? Una maana ile ambayo Chibu amei-post kwenye instagram page yake, au? Hata kama wanasema Diamond ni mpenda show-off (ingawaje hakuna msanii asiye-post vitu vyake mtandaoni) sidhani kama amefikia hatua ya ku-post nyumba ya mtu halafu ajifanye ya kwake! Mbaya zaidi, kulikuwa na sababu gani afanye hivyo wakati hapajazuka zodozodo zozote za kumzodoa kwamba hana nyumba labda ndo tungesema ame-post nyumba ya Kinje na kujifanya yake kv amezodolewa hana nyumba! By the way, ina maana mpwa unataka kuniambia hiyo picha ni mara yako ya kwanza kuiona? Au imekutisha ile interior design.... bwah!bwah!bwah! Hebu pata picha Dinazarde anakuja ghetto kwako anakuta tiles zimeandikwa warumi, zingine Gossip_warumi... hahaahaaa haaaa, yaani hapo unamgonga begani kwa bahati mbaya, unamkuta mwenyewe taraaaatibu anadondokea kwenye sofa huku anareambua na vijimaneno, nh'nini bwanaa, mi sitaki..!" tumia pesa ikuzoee mpwa!
Warumi mchawiiiii
Ma mods futeni huu uzi jamani khaa, sio maumivu haya kwa kweli
Nyooooo unajua leo?? Nfyuuuuu kujipendekeza tu, baada ya kusifia pagara la msukuma unasifia nyumba ya mume wa zari, au unadhani na wewe utaolewa?? Umechinaaaaaaaaa..... umeamkaje lakini??
Mmh ila kajitahidi, hilo zari angepata fukara mama ubaya, zari the bosslady hii nyumba kwake kama stoo tu... mmh kajitahidi kwa kweli, japokuwa roho imeniuma sana jana nusu nilie, jamni nyie roho mbaya izi khaaa tutakufa siku si zeti