Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

uyu jamaa anachoniogopesha anashindanishwa na wa2 wangap cjui mara kuimba hawezi kumzidi alikiba,mara gari haiwezi kuwa kma la jay dee ,mara nyumba sio kma ya jux ,mara show sio kma ya davido asee uyuu dogo nikisanga mumuache afanye yake hamumuwezi #inspired
 
Teh teh teh watu wana mageto kama ya yule aliyechepuka na Eden,,MLANGO tena wa MPODO ndio KABATI na hand bag,, afu una matundu mbao hazijabana, lazima umchukie kijana anayejituma.

Note: Sipo team yoyote ile natoa mawazo yangu tu.
 
Hata kama hampendi jaribuni kuelewa,kaandika GOLD PLATED!!!!! Au hamjui maana take?!!
Watu wana wivu wa kijinga... tatizo la JF wengi wanajifanya wajanja lakini wengi wao ni washamba na hata ufahamu ni mdogo... c ajabu wala hawafahamu nini maana ya gold plated material na wala hawafahamu kuna material zingine zinaitwa gold filled! Good enough, mwenyewe ameweka wazi kwamba ni gold plated!! Yaani hapa wengine inaonesha wazi hata chemistry ya form iii kuhusu mambo ya electrolysis iliwapiga chenga!!!
 
Ila binamu ingawa domo simkubali kabisa ila hapa Ametisha! Kanifurahisha sana kwa kweli....anakula matunda ya kazi yake.Kumbe mziki unalipa sana ee, sasa crew yote ile inalipwaje? Mhuuu

Kajtiahidi sana, inapendeza, kawatia moyo vijana wengi sana wenye ndoto kama zake, Mungu ambarik, japokuwa jana alivyo post picha nusu roho initoke kwa wivu, kiba yake vp??
 
Binamu una undugu na Dougie Mchawi! Mfyuuu zake amekosa hata la kuongea anabaki kujijambia jambia tu.Alie na mola wake hana maisha wala kipaji anabaki kutukana watu wenye maisha yao when she has a misarable life....

Ahahahahah wachawi wenzangu wa insta jana waliipataje joto? Mi nimefurahi kwa kuwa hayupo na mama ubaya maana wangekuwa wote hyo janaa tungechambika mpaka bhasi, hongera zake kwa kweli, sio hekalu lile kwa kweli
 
Nashangaa... ndo maana kuna mtu nikamweleza usidhani kila anayepanga hana nyumba! Mtu ananunua coaster anafanya daladala na yeye akienda town anapanda daladala wakati pesa aliyonunulia coaster ingetosha kununulia angalau vitz akawa anatembelea instead!

Imetosha jamani, tumekubali mshatupiga bao jana na jumba lenu la kifahari tena zuri, tunasubir janga lingine limkute tuanze kuchamba, ila kwa jana tu katuweza, sitasahau kwa kweli
 
Nyumba ipi tena mpwa? Una maana ile ambayo Chibu amei-post kwenye instagram page yake, au? Hata kama wanasema Diamond ni mpenda show-off (ingawaje hakuna msanii asiye-post vitu vyake mtandaoni) sidhani kama amefikia hatua ya ku-post nyumba ya mtu halafu ajifanye ya kwake! Mbaya zaidi, kulikuwa na sababu gani afanye hivyo wakati hapajazuka zodozodo zozote za kumzodoa kwamba hana nyumba labda ndo tungesema ame-post nyumba ya Kinje na kujifanya yake kv amezodolewa hana nyumba! By the way, ina maana mpwa unataka kuniambia hiyo picha ni mara yako ya kwanza kuiona? Au imekutisha ile interior design.... bwah!bwah!bwah! Hebu pata picha Dinazarde anakuja ghetto kwako anakuta tiles zimeandikwa warumi, zingine Gossip_warumi... hahaahaaa haaaa, yaani hapo unamgonga begani kwa bahati mbaya, unamkuta mwenyewe taraaaatibu anadondokea kwenye sofa huku anareambua na vijimaneno, nh'nini bwanaa, mi sitaki..!" tumia pesa ikuzoee mpwa!

NI sheedah, kajitahidi, mi namuoenea huruma mama ubaya tu, uko alipo sijui atakuwaje, maana mimi tu hayanihusu roho imeniuma vile, sasa yeye ambaye alikuwa baby wake sijui itakuwaje, atalamba ndimu mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
Ma mods futeni huu uzi jamani khaa, sio maumivu haya kwa kweli
 
Ma mods futeni huu uzi jamani khaa, sio maumivu haya kwa kweli

Binamu unajua naumwa ila jana nikashindwa kujizui kuingia humy maana nna deep mawazuuu loo,
Kwa taarifa yako uzi haufutwi we lamba ndimu na juic yake nakulete
 
Nyooooo unajua leo?? Nfyuuuuu kujipendekeza tu, baada ya kusifia pagara la msukuma unasifia nyumba ya mume wa zari, au unadhani na wewe utaolewa?? Umechinaaaaaaaaa..... umeamkaje lakini??

Msukuma sio maarufu jamani msamehe,hua namsifia huku kiuno kipo juu nampa utamu
Nahisi jana hujalala kwa roho mbayaaa
 
Mmh ila kajitahidi, hilo zari angepata fukara mama ubaya, zari the bosslady hii nyumba kwake kama stoo tu... mmh kajitahidi kwa kweli, japokuwa roho imeniuma sana jana nusu nilie, jamni nyie roho mbaya izi khaaa tutakufa siku si zeti

Wema kila siku ni kumuongelea daimond kwenye in my shoes na badooooo anaumiajeee loooooo kwakweli daimond anajua kuumiza watu roho aishi miaka mia
 
Back
Top Bottom