NIMEONA CLIP wanasema imebebwa na mafuriko. Japo ni ukuta
Lkn yote ya nn hayo
Jinsi watu wanavyomuongelea huyu dogo inaonyesha kabisa wanachuki inawatafuna moyoni kabisa. hebu tuchukue kwa mfano hiyo nyumba hana kama munavyosema, je wewe na mimi ambao si familia yake tumepungukiwa nini ??????????? au anayo kama anavyosema yeye mwenyewe wewe na mimi ambao si familia yake tumeongezekewa nini???????? Au kama munavyosema pagawe lake limeanguka je, hilo pagawe lake kulijenga umemchangia ????????
Wivu uko wapi hapo na wivu wa nini hasa?
Ni chombezo tu mkuu, ili story inoge! i did not mean it mkuu, take it for granted!
hii nyumba itaisha lini hii pool imeanza jengwa long time haiishi????
Iv ile sensa ya kusaka wachawi iliishia wapi???