Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Jinsi watu wanavyomuongelea huyu dogo inaonyesha kabisa wanachuki inawatafuna moyoni kabisa. hebu tuchukue kwa mfano hiyo nyumba hana kama munavyosema,

Je wewe na mimi ambao si familia yake tumepungukiwa nini ? au anayo kama anavyosema yeye mwenyewe wewe na mimi ambao si familia yake tumeongezekewa nini? Au kama munavyosema pagawe lake limeanguka je, hilo pagawe lake kulijenga umemchangia ?
 
Jinsi watu wanavyomuongelea huyu dogo inaonyesha kabisa wanachuki inawatafuna moyoni kabisa. hebu tuchukue kwa mfano hiyo nyumba hana kama munavyosema, je wewe na mimi ambao si familia yake tumepungukiwa nini ??????????? au anayo kama anavyosema yeye mwenyewe wewe na mimi ambao si familia yake tumeongezekewa nini???????? Au kama munavyosema pagawe lake limeanguka je, hilo pagawe lake kulijenga umemchangia ????????

ndugu yako nini?
 
Aibuuuuu! Ubwabwa utamjua tuuuu, hata akijificha, harufu humuumbua!
 
Nimemuona Zari leo Game anafanya shoping, nadhani ni kweli wamehamia nyumba mpya.
 
Jinsi watu wanavyomuongelea huyu dogo inaonyesha kabisa wanachuki inawatafuna moyoni kabisa. hebu tuchukue kwa mfano hiyo nyumba hana kama munavyosema, je wewe na mimi ambao si familia yake tumepungukiwa nini ??????????? au anayo kama anavyosema yeye mwenyewe wewe na mimi ambao si familia yake tumeongezekewa nini???????? Au kama munavyosema pagawe lake limeanguka je, hilo pagawe lake kulijenga umemchangia ????????

Usimtishe hatutaki ubishoo na uongo, Diamond ni mtu mzima sio Sitti Mtevu, yeye staa akisema kitu nilazima watu wakahakikishe ili iwe mfano kwa wengine, msije mdanganya kama yule wa nyimbo za watoto aliyepo kenya.
 
Back
Top Bottom