Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Tunakumbushana tu,kuna waliokuwa na leo baadae kesho zao zikawabadilikia......inaelekea una 'kesi' na mie...

mbona kupanda na kushuka ni kawaida, yaani namaanisha its nature, vinavyodumu milele ni milima tuu. Y.O.L.O
 
nyie endeleeni kumpotosha mwenzenu,aendelee kufukuzana na upepo......na km wewe au wenzio wanadhania nina ishu na Diamond,mtajijuuu....siko hapa kuwaconvince tofauti.

Mbona unajibu humu kama vile unajuana nae? Kuna kujibu kama fan ila wewe unajibu kama vile unamjua na haumtakii mema kwa jinsi unavyoandika

Sasa lipi zuri unaweza msifia?

Ushauri si umwandikie message kama unaona hasikiii/
 
labda uwe specific wapi,hapo unapoona najuana nae,hivi mlitaka kila mtu aandike kwa kuwa please nyie......eti nimeona hasikiii,mie huyu namjua mpk nijue ni deaf?,nimetoa yangu....km yanawaudhi poleni...ila msidhanie mtaninyamazisha...as i said sina ishu na huyu mtu and dont potray me as if i have got issues with him....
 
mbona kupanda na kushuka ni kawaida, yaani namaanisha its nature, vinavyodumu milele ni milima tuu. Y.O.L.O

mkuuu...kuna kupanda na kushuka....sikatai,ila ukifanya maamuzi ya kihasara hasara...obviously huna muda mrefu utaanguka,anyway mwenyewe ndio atapima hapa nani anamuombea his downfall ni mie au nyie fan wake msiotaka kumushauri kwa kuogopa kuonekana au kuambiwa mna wivu.
 
Gold or not, 24 carat or 8 carat, 70 million or not; Thats one hell of a lavatory.
 
mkuuu...kuna kupanda na kushuka....sikatai,ila ukifanya maamuzi ya kihasara hasara...obviously huna muda mrefu utaanguka,anyway mwenyewe ndio atapima hapa nani anamuombea his downfall ni mie au nyie fan wake msiotaka kumushauri kwa kuogopa kuonekana au kuambiwa mna wivu.

Hicho anachofanya ni upuuzi..hiyo sauti siku ikikauka sijui ataanza kubandua hivyo vipande kimoja kimoja na kwenda kuviuza kwa kiumbe!..nilikua namuweka kundi tofauti na wenzake kumbe ndo wale wale. Mwenzake dudu baya sasa mwizi wa simu sasa yeye mwache ajione watu wataendelea kupenda sauti yake mpaka anazeeka.
 
ni nature yetu wa bongo kufurahi mtu akiwa kwenye hardship.. akifanya kitu kufurahisha nafsi yake tunasiliba, mie naamin diamond ni habari nyingine na dua la kuku halimpati mwewe. angalia kula yako tu... lol😱
 
Hahahahahahahahaaaaa umenichekesha

Watu kelele nyingi wakati bado wanakaa kwao mwingine kajitahidi sana kapanga ubavu Moshi ndogo(Kimara). Tujitahidi kuwa wa kweli tu Dogo kapiga hatua alipanga kwa muda naona alikua hataki kuhamia huku ana piga RIPU ndani na kuhamisha hamisha vyombo kama Ujenzi wa ki maskini.
 
Hahaa.
 
Back
Top Bottom