Lakini mbona jamaa hii ndio itakuwa colabo yake ya kwanza kufanya na mzungu?! Huu utumwa unatoka wapi wakati kazi zake nyingi sana huwa anafanya na weusi wenzake?Waafrika bado tuna imani ya kitumwa kuwa ukifanya kazi na Mzungu, unapata ubora na mafanikio. Kuna uncle wangu anapiga zeze hiyo violin haioni ndani.
Hongera kwa kazi lakini.
Omario mzungu au mwafrikaLakini mbona jamaa hii ndio itakuwa colabo yake ya kwanza kufanya na mzungu?! Huu utumwa unatoka wapi wakati kazi zake nyingi sana huwa anafanya na weusi wenzake?
Kama kweli hao team WCB watakaa wachukue ushauri wako utawasaidia ila wakichukulia negative wameishaWiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!
Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Naunga mkono hoja awe anachanganya armde kwa manecky, kgt, man walter, pale kwa zacha chari kama zamani...Umefikia wakati sasa diamond afanye kaz na producer mwingine au producer alienae arudi tena VETA.
Kipindi hicho skendo zilikuwa hazijaanza kufunika mziki.Mpk Leo hii hakuna wimbo ambao atauondoa kwenye kichwa changu
Ukilala lala salama
Nitarejea