el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Sijui ni ujinga au chuki.
Dimond anaachia album mwakani january, lazima atoe ngoma mfululizo zitakazoasaidia kusukuma album yake, na hii hafanyi yeye tuu bali wasanii wote wakubwa duniani wakikaribia kuachia album wadrop ngoma hata 10 mfululizo.
Soko la muziki wa sahizi ndilo linapelekea Dimond kufanya hivyo, maana hapo anataka apige pesa sio tuu kwa mauzo ya album ila na mauzo ya hizo nyimbo kuanzia youtube, spotify na kwingineko..
Sasa we unahisi zimechuja wakati hiyo no strategy ya makusudi kabisa