Daimond Platnumz "Baila" Ft Miri Ben Ari (Kionjo)

Daimond Platnumz "Baila" Ft Miri Ben Ari (Kionjo)

Sijui ni ujinga au chuki.

Dimond anaachia album mwakani january, lazima atoe ngoma mfululizo zitakazoasaidia kusukuma album yake, na hii hafanyi yeye tuu bali wasanii wote wakubwa duniani wakikaribia kuachia album wadrop ngoma hata 10 mfululizo.

Soko la muziki wa sahizi ndilo linapelekea Dimond kufanya hivyo, maana hapo anataka apige pesa sio tuu kwa mauzo ya album ila na mauzo ya hizo nyimbo kuanzia youtube, spotify na kwingineko..

Sasa we unahisi zimechuja wakati hiyo no strategy ya makusudi kabisa
 
Shidah producer naona mavoko kariona ili afany ngom n uyo lezer
 
Waafrika bado tuna imani ya kitumwa kuwa ukifanya kazi na Mzungu, unapata ubora na mafanikio. Kuna uncle wangu anapiga zeze hiyo violin haioni ndani.
Hongera kwa kazi lakini.
Lakini mbona jamaa hii ndio itakuwa colabo yake ya kwanza kufanya na mzungu?! Huu utumwa unatoka wapi wakati kazi zake nyingi sana huwa anafanya na weusi wenzake?
 
Huyu jamaa siku huzi skendo zake zimefunika.mziki wake. Now watu washasau wakawaka na haina hata mwezi washsahau Sikomi tofauti kabisa na zamani ilivyokuwa....watu washamzoea now hata amfufue maiko jakson bado watu watakuwa interested na story zake na hamisa au nani kamgonga kuliko mziki wake.
Poor him..... sio kwamba ni mwanamzki mbaya No but mambo yake ya nje now yamezidi mziki wake na ndio watu wanayoyapenda.
KINGINE: BONGO SIASA ZINAHIT KULIKO MZIKI SASA HV
 
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!

Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Kama kweli hao team WCB watakaa wachukue ushauri wako utawasaidia ila wakichukulia negative wameisha
Umenena vizuri mkuu
 
Umefikia wakati sasa diamond afanye kaz na producer mwingine au producer alienae arudi tena VETA.
Naunga mkono hoja awe anachanganya armde kwa manecky, kgt, man walter, pale kwa zacha chari kama zamani...
 
Back
Top Bottom