Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,300
- 2,063
Mimi Simba ila yaleo,ni usengee mtupu. Dk 15 seriously,then penalty.kama ni mim mchezaji wa mashujaa ningepiga lefaa potelea pote
Haujifichi!Rais wa Tff Wallace Karia amegeuka kuwa mtu mpumbavu sana
Hamia yanga mkuu...Mimi Simba ila yaleo,ni usengee mtupu. Dk 15 seriously,then penalty.kama ni mim mchezaji wa mashujaa ningepiga lefaa potelea pote
Mkuu,sipendagi kabisaa mtu azurumiwe Haki yake😭Hamia yanga mkuu...
Hii ligi imepandishwa na Simba, hao wengine hata msipokuwepo ligi itaendelea kuwa ya 4 Afrika.
Hata Sudan kuna Al hilal na El Mereck pekee wanaoipambania ligi yao na iko top 10 barani Afrika bila uwepo wa timu zingine
Mods wapeni zawadi hawa wachangiaji. Wametoa point za kisomi sana.Huyo unayombeza ndio alifanya ligi yetu ikawa namba 4 barani Afrika na sio mashujaaa wala yanga..kuwa na heshima
Ukomo wa dakika za nyongeza huwa ni ngapi? Sheria hairuhusu penati kutolewa inapofika dakika ya ngapi?Ndio leo nimeona dakika za nyongeza ni zaidi ya first half ya extra time (19'). Na penati dakika ya mwisho.
Bodi ya ligi ni kama Tume ya uchaguzi tu
Hivi vilio vya utopolo ndo tunavyopenda kuviskia, vinaleta burudani maskioni mwetuMambo ya kushangaza na kustaajabisha kabisa hata kama ni kubebwa Lakini hii ni too much
Mashujaaa FC wamezurumiwa wazi kabisa na Refa aliyechezesha Mchezo dhidi ya Simba SC na Mashujaaa.
Dakika kumi na tano za nyongeza na Penati isiyo halali Refa kafunika mkwaju Baada ya kuambiwa na mchezaji , Huu ni mpira Wa wapi??!!!
Ndiyo tunataka kupiga hatua kwa namna hii?!!
Kweli mpira Wetu kivyetu vyetu
Dakika kumi na tano kuna mtu alizimia pale?!!Hivi vilio vya utopolo ndo tunavyopenda kuviskia, vinaleta burudani maskioni mwetu
Unavyoona kwa huo mpira + hayo maamuzi ligi imepanda nini hapo??Simba ndio kaipandisha ligi kelele za nini, Kuna katimu kabovu kanapenda kujipima na simba