Dakika 15, za nyongeza na Penati ya mchongo na bado tunajisifu Kuwa hii ni Ligi ya tano kwa ubora ?

Dakika 15, za nyongeza na Penati ya mchongo na bado tunajisifu Kuwa hii ni Ligi ya tano kwa ubora ?

Screenshot_20250502-213415~2.png
 
Uliwahi kuona wapi mzamini mmoja anazamini timu nane ndani ya ligi moja. Kama haturudi mezani na kuendesha ligi Kwa weledi Kila kipindi Simba na Yanga zitazidi kulalama. Leo Yanga anashangaa lakini kesho ataupokea huo wisho Simba naye atashangaa
 
Kwani Simba alikua anacheza peke yake hizo dkk? Au na majini?
Akilk mnapelekaga wapi nyie uto??
 
Mambo ya kushangaza na kustaajabisha kabisa hata kama ni kubebwa Lakini hii ni too much

Mashujaaa FC wamezurumiwa wazi kabisa na Refa aliyechezesha Mchezo dhidi ya Simba SC na Mashujaaa.

Dakika kumi na tano za nyongeza na Penati isiyo halali Refa kafunika mkwaju Baada ya kuambiwa na mchezaji , Huu ni mpira Wa wapi??!!!

Ndiyo tunataka kupiga hatua kwa namna hii?!!

Kweli mpira Wetu kivyetu vyetu
Changanya na mrejesho toka CAS , mtakomaje watopolo mwaka huu. Alivyowabeba Ramadhan Kayoko kwenye derby mlichekelea sana
 
Back
Top Bottom