Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

Kwanini first lady alikimbilia fuvu?? Kuna siri gani hapo
 
the bold ndo mtaalamu wa mambo haya. sio lazima wote tusimulie. ingekuwa the bold hapo angeanzia chanzo cha hadi ye kuuwawa.

Angalia misukule mingine hii, yaani The bold ndio anajua kila kitu peke yake. Hujui kuwa kila mtu ana usimuliaji wake. Roho mbaya tu.
 
Ukigoogle kuna English Version ya hii makala. Sidhan kama kuna jambo geni useme ni thesis ya mtu imeibiwa. Kila kitu kiko wazi kwa Public kule google ikiwemo hadi video zote. Mtoa mada na The Bold nawapongeza kurahisishia watu na kuwaelimisha,lakini siyo kwa extent ya kuchukiana hapa JF
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolowapi nimekumiss jamani!

Tupo JF tunamfatilia the bold kwa ukaribu sana.Ila mimi binafsi huwa inaniuma kazi aandae mwengine halafu mwengine apewe sifa zisizostahili.
 
mkuu endelea kutuhabarisha story nzury sana hii najua haujacopy popote ni unafiki tu wa watu
 
Huyu ndiye rais pekee wa USA kati ya marais 45 ambaye in mkatoliki na ndiye aliyekaa madarakani kwa muda mfupi kuliko wote.....
Pamoja na kukaa muda mfupi madarakani lakini pia ndio Rais aliyejipatia umaarufu mkubwa mpaka leo.
 
Back
Top Bottom