nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
huyu jamaa ahache kukaririHacha kukariri
Wewe ni ke au me??the bold ndo mtaalamu wa mambo haya. sio lazima wote tusimulie. ingekuwa the bold hapo angeanzia chanzo cha hadi ye kuuwawa.
Achen kukariri mambothe bold ndo mtaalamu wa mambo haya. sio lazima wote tusimulie. ingekuwa the bold hapo angeanzia chanzo cha hadi ye kuuwawa.
the bold ndo mtaalamu wa mambo haya. sio lazima wote tusimulie. ingekuwa the bold hapo angeanzia chanzo cha hadi ye kuuwawa.
Kumbe ni huko whtsapp basi ni JF sasaHajaleta jukwaani. Subiri mpaka atakapoileta.
Ni huko kwenye group la WhatsApp.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolowapi nimekumiss jamani!
Pamoja na kukaa muda mfupi madarakani lakini pia ndio Rais aliyejipatia umaarufu mkubwa mpaka leo.Huyu ndiye rais pekee wa USA kati ya marais 45 ambaye in mkatoliki na ndiye aliyekaa madarakani kwa muda mfupi kuliko wote.....
Usiseme hivyo mkuu mtu katumia muda wake kuandaa kitu kisha anakuja mwingine nakuchukua kutumia bila Ruhusa..Kumbe ni huko whtsapp basi ni JF sasa