Zee la chini
Member
- Apr 29, 2017
- 7
- 22
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana akili zafanana mbona mnashambulia mtoa mada, kaeni mkao wa kula anarudi next episode soon🙂🙂
SafiTunaisubir kwan imekaa njema
Alaa kumbee??hapo sawa nimekupataHana uwezo wa kuiendeleza coz amekopi pahala. Kuendelea kwake inategemea kama mwandishi orijino ataiendeleza ili huyu nae akopi alete hapa.
Ila sidhani kama ataendelea tena coz tumemstukia kuwa ni jizi