Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

sikuwahi kukisikia kisa hiki, lakini mwanadamu amekua mbaya kiasi hicho kweli
 
Hivi moderators mbona mtu anakopi kazi ya mwenzie na kuifanya kama yake nyie mnamuacha tu

Huu ni wizi,hautakiwi hapa JF
 
Kazi kweli kweli haya mwenzangu ilikuaje ukatenda hivyo basi tena bora juuzulu ....njoo useme kweli watu wakusamehe
 
Inawezekana akili zafanana mbona mnashambulia mtoa mada, kaeni mkao wa kula anarudi next episode soon🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tukio la kufa Kennedy ni moja, sasa lazima vitu vifanane
mambo ni yale yale tu
 
Elimu muhimu. Wazungu walikuwa na yao kichwani. Lazma kulikuwa na sababu wamarekani waliiona ya msingi...
 
Hana uwezo wa kuiendeleza coz amekopi pahala. Kuendelea kwake inategemea kama mwandishi orijino ataiendeleza ili huyu nae akopi alete hapa.

Ila sidhani kama ataendelea tena coz tumemstukia kuwa ni jizi
Alaa kumbee??hapo sawa nimekupata
 
Hongera mkuu, Mungu amekujaalia kipaji cha pekee
 
Back
Top Bottom