Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si chochote mbele ya hoja yako. You have reduced them to nothing. Hakika wamepwaya. Nije kwenye mada. Mhe. Halima aliuliza kuwa kuna miradi ya barabara iliyoingiwa na sekta binafsi na mpaka sasa haijaanza kutekelezwa ni kwa nini?
Miradi hii ilikuwa kwanza kuwe na FINANCIER ambaye yeye atafuta fedha kutoka kwenye mabenki kote duniani. Pili huyu FINANCIER ataingia mkataba na Wakandarasi mbalimbali kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hii. Tatu, wakati Serikali inawekeana sahihi na FINANCIER riba katika mabenki ambapo FINANCIER aliomba mkopo ilikuwa 3% na mkataba ulikwisha sainiwa na mpaka leo hawajaanza kazi.
Leo Waziri wa Fedha kainuka na kusema ' Nanukuu " Huko juu hakukaliki kwa sababu ya riba. Riba sasa ni 10%. Ninaomba nielemishwe. Kama tayari tulikwisha wekeana sahihi mwaka jana kutekeleza miradi hiyo kwa nini miradi haitekelezwi?
Suala la riba siyo jukumu letu jukumu letu ni kuona miradi inatekelezwa kwa muda uliopangwa. Kama kweli amechelewesha miradi kwa nini huyu FINANCIER asishtakiwe? Mbona sisi kama nchi tukichelewesha miradi tunashtakiwa?
Suala la riba siyo jukumu letu ni jukumu la FINANCIER. Hongera sana Mhe. Mdee kwa kutufumbua macho. Ninamshauri Mteule Wizara ya Fedha inamhitaji Waziri ambayo ni Very competent. Mhe. Halima Mdee apewe maua yake.