Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nipo sahihi .sijakosea lugha hapo hata uwalete ma profesaUkamilishe mkuu , kiswahili lugha yetu lakini tulifeli darasani.
Wamemaliza kusafisha baada ya hurricane au hamjapata kichapo sana huko?Nakula upepo kidogo. Visiwa ni East and North Myrtle Beach.
That's what's up.Watu wapo serious na maisha, huwezi jua kama kulikuwa ovyo 2weeks ago. Kuko safi kabisa
That's what's up.
North America na Europe watu wanajua wana small window ya weather, wakichelewa kidogo ma fall weather sijui ma winter schedule yanaingilia, inabidi waende fast.
Kule kwetu tuna jua zuri karibu mwaka mzima tunaona habari za "I will get to it tomorrow" kwa sana.
Hiyo carbon monoxide unayoisema wewe watu wanaibugia kila siku. Mpaka miili inaikubali tu kuwa kama hewa safi, damu inabadilika. Kudaadadeki.
Ukiwa na jiko la mkaa unapikia ndani tu, maana yake unabugia carbon monoxide.
Charcoal-burning suicide - Wikipedia
Mkaa unatoa carbon monoxide.
Halafu hatuna carbon monoxide alarms walafire alarms tunapeta.
Fire brigade mpaka litoke airport au bandarini.
Na tunaongeza Dreamliner na Bombardier hapo hapo.
Na ukitaka kununua nyumba Mbezi Beach ambako hakuna Fire Brigade bei kama Long Island.
Pia wenzetu wanachukulia maafa seriously. Nakumbuka one time niko Orlando vacation, tumefurumushwa hoteli nzima tutoke nje, kisa fire alarm.
Tukatoka nje wote, fire brigade wakaja kama dakika 15 wakaondoka, tukaendelea. Kwetu huko mtu anaweza kukaidi tu alarm akaizima, akaona inazingua, mpaka jengo linaungua.
Nchi yetu changa my foot.Kiranga karibu bongo,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona unatuhenyeshaa,
Nchi yetu changa bhanaa!!