Pre GE2025 Dakika 6 za simu ya Makonda kwa Bashe akidai utatuzi wa bei ya sukari

Pre GE2025 Dakika 6 za simu ya Makonda kwa Bashe akidai utatuzi wa bei ya sukari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini:

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari itatengemaa ndani ya mwezi ujao akiwataka kutokuwa na hofu

Waziri Bashe ameeleza hayo leo Januari 23, 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja stendi ya Kilombero baada ya kupigiwa simu na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda aliyetaka kujua mkakati wa Serikali inafanya jitihada gani ili kuhakikisha kuna kuwa na sukari ya kutosha yenye gharama nafuu kwa wananchi.

" Niwaombe radhi Watanzania kwa hali iliyojitokeza na Serikali imeshachukua hatua ya kuagiza sukari kutoka nje na shehena ya kwanza itaanza kuingia nchini kuanzia Januari 26 hadi 30 na tumetoa vibali vya zaidi tani 100,000.

"Hadi kufika Februari 15 hali ya utulivu ya upatikanaji wa sukari itakuwepo, hata hivyo, tumefanya operesheni ya kukamata watu wote wanaouza sukari zaidi ya bei elekezi,"amesema Bashe.

 
Chama kinaongea na mtumishi wake, moja ya watendaji walioidhinishwa na chama ili kutekeleza ilani ya chama.
 
Usanii tu, Maandamano mengine yaja. CHADEMA CHADEMA PEOPLE'S POWER!!!!✌️✌️✌️✌️
 
Jamani ikitokea muujiza nikawa president w a hii nchii natangaza kuwafilisi wote wenye kadi za CCM na baadhi nawanyonga..
Naanza na
Raisi
Molel
Bashite
Wabunge
Mwaziri
Wote nawapiga kitanzi.
 
Back
Top Bottom