Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu amebakiza nyumbani ambayo ni vs Simba, baada ya hapo aataenda kwa Constantine na ataenda kwa Sfxien.
Constantine naye anamsubiria Bravos kwake amchukulie pointi 3, anamsubiria Sfxien amchukulie point 3 pia.
Tukifanya mzaha tusipocheza vizuri Tunisia na kule Angola basi tutashindwa kufuzu, njia pekee ni kuhakikisha dirisha dogo tunasajili wachezaji wa ukweli vinginevyo aibu itatukuta.Constantine na Bravos wanaweza kufuzu kundi hili kimahesabu