Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
Wamepita kwa namna gani ?Yani mwenzio ana zaidi ya wabunge na madiwani 40 waliopita bila pingamiza stil unasema bila bila endelea kujipa moyo.
Yaani kumbe hata hilo hujui?Kakataliwa kivipi?
We subiri tumrudishe mbugani kule burigi akakae na chatu, ndio utajua asilimia 90Magufuli anashinda uraisi kwa zaidi ya 90%
Safari hii hawaipati, tutalinda kura zetu kwa udi na uvumbaTimu ya kijani integemea faoul
Huyo mataga huwa anatapika tu, haelewi anachoongea
Ataenda kufungia dubaiMembe 89' ila sijui atafungia wapi
Ntakunya mavi mfululizo pembeni ya reli kuanzia Dar mpaka kigomaMagufuli anashinda uraisi kwa zaidi ya 90%
Wewe ni wa kuonewa huruma. Mzee, kwa hapa siyo riziki kabisa.Magufuli anashinda uraisi kwa zaidi ya 90%