Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
Wamepita kwa namna gani ?Yani mwenzio ana zaidi ya wabunge na madiwani 40 waliopita bila pingamiza stil unasema bila bila endelea kujipa moyo.
Kwani uchaguzi tayari ? Je wananchi wamewachagua au wamechaguliwa na nani ?
Mbona mumeamua kujitoa ufahamu wakati akili mmepewa!!!
Kwanini ujigonge ukutani wakati mlango unauona !!!