Uchaguzi 2020 Dakika ya 78: Nyekundu 0, Kijani 0

Uchaguzi 2020 Dakika ya 78: Nyekundu 0, Kijani 0

Yani mwenzio ana zaidi ya wabunge na madiwani 40 waliopita bila pingamiza stil unasema bila bila endelea kujipa moyo.
Wamepita kwa namna gani ?

Kwani uchaguzi tayari ? Je wananchi wamewachagua au wamechaguliwa na nani ?

Mbona mumeamua kujitoa ufahamu wakati akili mmepewa!!!

Kwanini ujigonge ukutani wakati mlango unauona !!!
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Kwa upande wa Bingwa mtetezi Naona winbacks pamoja na centerback zinamark the line between lakini pia upande wa midfielders wako jema wanatengeneza V one by one huku playmaker wao anacreate chances za kutosha shida stricker anashindwa kumark na centerback wa timu pinzani nadhani Ni kwasababu ya injury maana Kama akili na miguu yake vinasalitiana.
Lakini pia wana stricker machachali wamempleka kwa Mkopo hivyo Mwisho wa ligi tutarajie kuleta ushindani mkubwa sana, maana ana uwezo wa kunusa hatari.
Lolote laweza tokea katika hizi dk 90.

 
Back
Top Bottom