heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Unapenda sana kukatisha watu tamaa..you are a sadist!Mpaka sasa hivi tunatiki wanaongoza kwa mbili na tunatoka wako nyuma kwa goli moja. Wenje anamwaga upupu kwa kwenda mbele!
Mashambulizi na ball pass naona wanaongoza tunatoka lolote laweza tokeaMpaka sasa hivi tunatiki wanaongoza kwa mbili na tunatoka wako nyuma kwa goli moja. Wenje anamwaga upupu kwa kwenda mbele!
ni uchambuzi wa mtanange huu, fuatilia mitandaoni na nje ya mitandaoni, tunatiki wamejipanga vema, ni timu imara dhidi ya timu dhaifu ila maajabu yanaweza kutokea na timu imara ikagaragazwa na timu dhaifu, hapo nimekatisha tamaa wapi?Unapenda sana kukatisha watu tamaa..you are a sadist!
Dakika za maaapeeeema wakutoka kidede 5 kwa Mtungi!Tupo katika dakika za jioni kabisa mambo yameshaiva hayawi hayawi sasa yanakaribia kuwa,
Je tutegemee watajitokeza watu muhimu dakika hizi za jioni? Maana viungo muhimu wameshadakwa dk za 70 uko ,
Je kuna watu wazito wenye subira wanaosubiri dakika za jioni kurusha mashambulizi heavy au ndo silaha za akiba zimeisha
Gwajima je,Tesha nae je petrol walio iacha inaweza washa moto
Tutarajie sub ?
Je Hp uko alipo yupo hai au keshakufa
#Oktoba tunatoka kwenda kutiki#Tupo katika dakika za jioni kabisa mambo yameshaiva hayawi hayawi sasa yanakaribia kuwa,