Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Wanakupiga Risasi nying mnoatapotezwa
Hamna kitu huyo. Kwisha habari yake.Unajuaje kama amepotea....Kaa subiria majibu ya tarehe 29/10 alafu utakuja kutuambia.....Una hope za kijinga sana....
You’re triggered 😂.Mijitu mingine sijui mpoje kama wachawi vile. Wivu tu
We sema unataka tu kujua amechukuliwa hatua gani. Kiufupi ni kuwa uchunguzi unaendelea hko jeshini na kubaini nini haswa kilimsukuma. Baada ya uchunguzi kuisha tegemea kumuona mahakama za kiraia.
Tanzania watu tumekuwa na utamaduni wa woga kiasi ambacho hata mtu anaposema ukweli kuhusu ubovu wa uongozi watu wanamwangalia mara mbili mbili. Kwa wale waliosoma kitabu cha Shaaban Robert, Kusadikika, wasadikika unaweza kuwafananisha kabisa na watanzania wa sasa.Watu kusema kile kinachowaumiza ni kutafuta umaarufu? Kwamba tunavyoinanga serikali mitandaoni tunatafuta umaarufu kumbe?
Hiv ni kweli mnajiaminishaga kila alieko ulaya na America anaosha wazungu tu?ila we jamaa mjinga sana.
Kama kweli wewe una mikakati kuliko tesha hebu jitokeze mstari wa mbele wa mapambano na hilo bichwa lako wakubamize.
Unawakejeli wapambanaji huku wewe uko Ulaya unaosha vibwenye vya wazungu.
Kwamba unataka aingie live kila siku kama mange kimambiNi kapteni Tesha!
Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena.
Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha.
Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe kwa hiari yake au atapotezwa, hiyo ni kama bado yupo na hajapotea wala kupotezwa.
Alifanya makosa makubwa ya kimkakati.
Mtu mwenye nia ya kufanya kweli, angetenda kwanza halafu ndo kuonyesha sura yake na kutoa tamko lake.
Lakini siyo kuonyesha sura na kutoa tamko la nia.
Sijui alipata wapi hayo mafunzo yake ya uanajeshi!
Habari ndo hiyo. Kwisha habari yake huyo.