Dakika zake 15 za umaarufu ndo zimekwisha?

Tunaweza kutofautiana mawazo; lakini watu aina ya polepole na Tesha wanatakiwa kuwa na brake. Ukishakiwa sehemu yao unakuwa sio mtu huru. Polepole na Tesha ni sehemu au wamekuwa sehemu ya Serikali kwa muda mrefu hivyo hawawezi kuwa completely free .

NDiyo maana kina Lowasaa hawakupotezwa kwa kuwa walikuwa na breki ya maneno - walijua mengi lakini waliongea machache sana, hata mpina anajitahidi sana kuwa na breki.. Polepole na Tesha wameongea mambo mengi un necesaary na kejeli kibao. Hakuwa anapima madhara yake ninadhani au alifanya makusudi.. ukiwa sehemu yao ni ngumu sana kutoboa pale utakapojiyoa ufahamu. tesha yeye alisema adhabu yake anaijua... so alifanya makusudi

Tunamhurumia sana lakini hili ndio funzo la muhimu kuhusu serikali ninalowafundisha wanangu...
Umemtaja Lowassa, hoja nzima imepotelea hewani
 
Ni kapteni Tesha!

Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena.

Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha.

Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe kwa hiari yake au atapotezwa, hiyo ni kama bado yupo na hajapotea wala kupotezwa.

Alifanya makosa makubwa ya kimkakati.

Mtu mwenye nia ya kufanya kweli, angetenda kwanza halafu ndo kuonyesha sura yake na kutoa tamko lake.

Lakini siyo kuonyesha sura na kutoa tamko la nia.

Sijui alipata wapi hayo mafunzo yake ya uanajeshi!

Habari ndo hiyo. Kwisha habari yake huyo.
umashuhuri lakini wenye akili walipenda ujumbe sio umashuhuri. Tatizo la Watnzania mnafikiria mtu badala ya ujumbe!!! sad
 
Wewe na mafala wenzako mngezielekeza hizo nguvu mnazozielekeza kwangu kwenda kumkomboa Polepole, si ajabu mngekuwa mshamrudisha nyumbani.
Mshenzi wewe. Unaropoka from nowhere. Alafu usiambiwe ujinga wako?
 
Eeeembu tulinganishe na dakika 15 zako.. Tuweze kupima nani ni nani kwa hoja zao.
 
Ni kapteni Tesha!

Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena.

Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha.

Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe kwa hiari yake au atapotezwa, hiyo ni kama bado yupo na hajapotea wala kupotezwa.

Alifanya makosa makubwa ya kimkakati.

Mtu mwenye nia ya kufanya kweli, angetenda kwanza halafu ndo kuonyesha sura yake na kutoa tamko lake.

Lakini siyo kuonyesha sura na kutoa tamko la nia.

Sijui alipata wapi hayo mafunzo yake ya uanajeshi!

Habari ndo hiyo. Kwisha habari yake huyo.
Mkuu umeumizwa sana Tesha ,maana si kwa kuufatilia huko mpaka kumfungulia Uzi kabisa?
 
Ni kapteni Tesha!

Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena.

Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha.

Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe kwa hiari yake au atapotezwa, hiyo ni kama bado yupo na hajapotea wala kupotezwa.

Alifanya makosa makubwa ya kimkakati.

Mtu mwenye nia ya kufanya kweli, angetenda kwanza halafu ndo kuonyesha sura yake na kutoa tamko lake.

Lakini siyo kuonyesha sura na kutoa tamko la nia.

Sijui alipata wapi hayo mafunzo yake ya uanajeshi!

Habari ndo hiyo. Kwisha habari yake huyo.
Usenge tu
 
Back
Top Bottom