Dakika zake 15 za umaarufu ndo zimekwisha?

Dakika zake 15 za umaarufu ndo zimekwisha?

Kinachokuuma Tesha au una lingine?
Hii tabia ya wanafki kujiona wenyewe wanajua kila kitu na kubeza wengine..!!
 
Hiv ni kweli mnajiaminishaga kila alieko ulaya na America anaosha wazungu tu?
Sasa kuna kazi gani huko ya maana kwa wabongo? 😹
Kama mtoto wa Malecela (Le mutuz) alikua anadrive gari ya nyonya mavi wengine mnafanya kazi gani?? 😹😹

Kinachowabeba chakula cha bure na matibabu 😜
 
Sasa kuna kazi gani huko ya maana kwa wabongo? 😹
Kama mtoto wa Malecela (Le mutuz) alikua anadrive gari ya nyonya mavi wengine mnafanya kazi gani?? 😹😹

Kinachowabeba chakula bure na matibabu 😜
Huu sasa ndio ule umatumbi niliokua nauzungumzia lamo😅
 
Back
Top Bottom