Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
-
- #21
Nimetafsiri fifteen minutes of fame.Watu kusema kile kinachowaumiza ni kutafuta umaarufu? Kwamba tunavyoinanga serikali mitandaoni tunatafuta umaarufu kumbe?
Kwa muandiko kama mtoa post wewe unafikiri kichwani kwake kunaweza kuwa na IQ ya kukaa kweny ofisi ya maana uko ulaya?Hiv ni kweli mnajiaminishaga kila alieko ulaya na America anaosha wazungu tu?
Tunaweza kutofautiana mawazo; lakini watu aina ya polepole na Tesha wanatakiwa kuwa na brake. Ukishakiwa sehemu yao unakuwa sio mtu huru. Polepole na Tesha ni sehemu au wamekuwa sehemu ya Serikali kwa muda mrefu hivyo hawawezi kuwa completely free .Unapoteza watu kisa wamesema maovu yaliyopo? Ila yana mwisho maana alikuwepo magu naye wakapita nae..
Nyangwisi Busu la Kenge limecheka kama fala hapa 😁Mkongwe, nina wasiwasi na usalama wa kinyeo unachokimiliki kama kiko salama!
Eti kila mtanzania anayasubiria. HahahahaWe sema unataka tu kujua amechukuliwa hatua gani. Kiufupi ni kuwa uchunguzi unaendelea hko jeshini na kubaini nini haswa kilimsukuma. Baada ya uchunguzi kuisha tegemea kumuona mahakama za kiraia. Kitu pekee kinachoweza kumuokoa ni maandamano ya kiraia, ambayo mpaka sasa ni kama kila mtz anayasubiri ila hakuna anayetaka kutoka.
The last hope of Tesha ni the mass of Tanzanians.
Umekuwa mjinga mjinga sana. Enzi zile miaka 15+ nyuma, hapa JF ulikuwa Great Thinker sana, lakini miaka hii umekuwa hovyo hovyoHamna kitu huyo. Kwisha habari yake.
Yule jamaa alizungumza 1 hour and 25 minutes. Hizo 15m sijui umepata wapi.Nimetafsiri fifteen minutes of fame.
Sijasema ukinung’unika ni unakuwa unatafuta umaarufu.
Comprehension, please!
Kuna wakati mtu unafikia hitimisho kwamba,TESHA alijua anachokifanya,na pia hakua peke yake ana backup kubwa nyuma yake. Na pengine hao unaodhani watampoteza au kumchukulia hatua pia nfio waliomwagiza afanye hivyo.We sema unataka tu kujua amechukuliwa hatua gani. Kiufupi ni kuwa uchunguzi unaendelea hko jeshini na kubaini nini haswa kilimsukuma. Baada ya uchunguzi kuisha tegemea kumuona mahakama za kiraia. Kitu pekee kinachoweza kumuokoa ni maandamano ya kiraia, ambayo mpaka sasa ni kama kila mtz anayasubiri ila hakuna anayetaka kutoka.
The last hope of Tesha ni the mass of Tanzanians.
Unahisi anaweza kuongea vile bila kutafuta support kabla?Kuna namna nilimuona Tesha anatetemeka kwa Hasira kwenye Ile clip yake.
Anatafuta Support tu, Akiipata baasi mambo yatakua mengine
Kwamba unafurahia au ni uandishi tu kuweka vitenzi vishereheshi?Hamna kitu huyo. Kwisha habari yake.