Dakika zake 15 za umaarufu ndo zimekwisha?

Umekuwa mjinga mjinga sana. Enzi zile miaka 15+ nyuma, hapa JF ulikuwa Great Thinker sana, lakini miaka hii umekuwa hovyo hovyo
Wewe na mafala wenzako mngezielekeza hizo nguvu mnazozielekeza kwangu kwenda kumkomboa Polepole, si ajabu mngekuwa mshamrudisha nyumbani.
 
Unajuaje kama amepotea....Kaa subiria majibu ya tarehe 29/10 alafu utakuja kutuambia.....Una hope za kijinga sana....
Just to be clear.

Hiyo tarehe 29/10/25 kutatokea nini?
 
Kuna harufu ya uchawa nadhani, hata hivyo pua zangu huwa hazinidanganyi
 
Wew ni chawa wa kijinga
 
Tuchukulie huu kama ni mtzamo wako na siyo fact.
 
Bla bla nyingi unajaza jangwa kwakumaliza karatasi, wewe umachukua hatua gani? Una tofauti gani sasa na Mwijaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…