Dakika zake 15 za umaarufu ndo zimekwisha?

Wewe kila kitu unabeza. Sasa toa wewe njia ya Watanzania watoke hapa walipo. Huna njia yoyote ila unakosoa tuuu kila kitu.. at least Tesha ametoa ujumbe wake kiume.
πŸ–•
 
Umemtaja Lowassa, hoja nzima imepotelea hewani
 
umashuhuri lakini wenye akili walipenda ujumbe sio umashuhuri. Tatizo la Watnzania mnafikiria mtu badala ya ujumbe!!! sad
 
Wewe na mafala wenzako mngezielekeza hizo nguvu mnazozielekeza kwangu kwenda kumkomboa Polepole, si ajabu mngekuwa mshamrudisha nyumbani.
Mshenzi wewe. Unaropoka from nowhere. Alafu usiambiwe ujinga wako?
 
Eeeembu tulinganishe na dakika 15 zako.. Tuweze kupima nani ni nani kwa hoja zao.
 
Mkuu umeumizwa sana Tesha ,maana si kwa kuufatilia huko mpaka kumfungulia Uzi kabisa?
 
Usenge tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…