Sasa kuna kazi gani huko ya maana kwa wabongo? ๐นHiv ni kweli mnajiaminishaga kila alieko ulaya na America anaosha wazungu tu?
Iweke vizuri wizo, wazungu wazee ๐นila we jamaa mjinga sana.
Kama kweli wewe una mikakati kuliko tesha hebu jitokeze mstari wa mbele wa mapambano na hilo bichwa lako wakubamize.
Unawakejeli wapambanaji huku wewe uko Ulaya unaosha vibwenye vya wazungu.
Huu sasa ndio ule umatumbi niliokua nauzungumzia lamo๐Sasa kuna kazi gani huko ya maana kwa wabongo? ๐น
Kama mtoto wa Malecela (Le mutuz) alikua anadrive gari ya nyonya mavi wengine mnafanya kazi gani?? ๐น๐น
Kinachowabeba chakula bure na matibabu ๐
๐น๐น๐น Atasaaa AtasaaaaHuu sasa ndio ule umatumbi niliokua nauzungumzia lamo๐
Kaa chini mmalize bifu lenu๐๐น๐น๐น Atasaaa Atasaaaa
Wamatumbi wenzetu wa USA mnatufokea sana..!!
Nyani sina bifu naye mwanangu sana sema napenda kumzingua akianza ujuaji wake, km wewe tu ๐น๐นKaa chini mmalize bifu lenu๐