Dakika10 za Maangamiziiiiii..

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Naelewa uwepo wa ndugu zetu ambao hamtaelewa (Mtatoka Weupe) katika mada hii. Niwaambie tu ya kwamba, Legezeni vichwa.

Kuhusu topic..
Ni perfomance zipi unazielewa zaidi na ungependa wahusika siku za mbeleni warudi tena..

Kwa upande wang..
1-One The Incredible na Roza Lee
Hawa jamaa inabidi wafanye kazi ya pamoja. Wote wana sub-etra element za kuchana KiTrump..

2- Dizasta.
Ile Bit ya Kanisa aloimbia mule ilikuwa poa sana tofauti na bit yake orignal. Namshaur Kanisa aifanyie remix kwa M'bit uleee.

3-Nikki mbishi na Maarifa the Big Thinker
Kwenye frestyle Mbishi anakwambia 'Police niachie niende mwanangu takupa rushwaa'. Nikki humu alikaza toka line ya kwanza..

Twende na top3 zako..
 
Kwangu nadhani Maarifa alifunika sio kitoto. Clip yake huwa naiangalia mara kwa mara.
 
hawa watoto wa wawili hatari sana bosho ninja na mwafrika huwa walikiamsha sana

alafu kama now hakuna tena maana juma tatu iliopita sikusikia
 
Dizasta Vina ( kuhusu beat ya kanisa naunga mkono hoja ile ya dakika 10 ilikua hatari zaidi kuzidi ya kwake Original)

One The Incredible vs Rosa Lee

Boshoo Ninja
 
Aha nilimwelew xana dizasta hasa pale alipochana undesha gari la shemeji sina wiv dah anaflow kama hataki na uyu chalih ya alachuga uyu rafu nlmwelewa
 
Kwangu nadhani Maarifa alifunika sio kitoto. Clip yake huwa naiangalia mara kwa mara.
Haha.. unamaanisha alimfunika Baba Malcom?

Au unasemea ile alipokuwa peke ake?
 
Dizasta Vina ( kuhusu beat ya kanisa naunga mkono hoja ile ya dakika 10 ilikua hatari zaidi kuzidi ya kwake Original)

One The Incredible vs Rosa Lee

Boshoo Ninja
Hahah.. Shukrani sana mkuu.

Ila itabidi nimskilize tena Huyu Bosho Ninja, naona wengi mnamkubali. Huwenda akawa na kitu..
 
Aha nilimwelew xana dizasta hasa pale alipochana undesha gari la shemeji sina wiv dah anaflow kama hataki na uyu chalih ya alachuga uyu rafu nlmwelewa
Hahah.. Jamaa anajua sana huyuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…