mkataumem
Member
- Sep 1, 2017
- 91
- 70
Uyuu uuuu balaaaaaaNyenza ...hands down!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyuu uuuu balaaaaaaNyenza ...hands down!!
Mbeya boy aliuaaaChuma alitisha.
Raini sanaa kwa waelewaHii thread ngumu sana aisee
Itabid nimskilize tena huyu jamaa..Sema boshoo ninja
FidQ aliharibu. Alikuwa anasahau sana mistari pamoja na msodokiWrite your reply...1.Dizasta vina
2.NikkiMbishi
3.OneIncredible
4.Fid Q
5.JCB
Hahaha.. Ngoja nianze kumfatilia huyu jamaa"Siku hizi usela kazi... Ukiishi usela bila hela unaishi usela mavi".
" Utanichuna nini nina mifupa mitupu, sina kitu labda unichemshe uninywe supu"
Sema Boshoo ninjaaaa!
Boshoo ninja usifananishe na utumbo wowote hapaItabid nimskilize tena huyu jamaa..
sanaaa mkuuu alikua hatari sanaUnamjua Boshoo Ninja?
Alifanya kufuru huyu jamaa!
Ya!! KadiGo punch zake nazielewa kinoma.KADIGO.... Aliuaa sana.. Halafu ana punch flani za tofauti sana sanaaaaa