Dakika10 za Maangamiziiiiii..

Dakika10 za Maangamiziiiiii..

Kuna yure chalii wa Ar nona dakika kimu zilimshindaga
 
Vijana wote mnaoacha shughuli zenu na kuja Temeke kushow luv kwenye rap na michano KINASA (KIswahili NA SAnaa) naomba niwajue!.
 
KADIGO.... Aliuaa sana.. Halafu ana punch flani za tofauti sana sanaaaaa
Ya!! KadiGo punch zake nazielewa kinoma.

"Mapenzi bila ushuhuda Ndio majukumu ya wengi/

Kama unapoteza muda Jua unamajukumu ushenzi"

"Furaha haiwezi kudumu kama unapenda vya bure"

"Nguvu kazi ya taifa inaendekeza mitepesho mjini"

KadiJembe, kadkalandinga,Kadtwende-KadiGo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Boshoo
2.Nyenza MC
3.One
4.Dizasta Vina (namuelewa sana kwenye dude lake la HATIA)
Daah ila Nyenza MC ni balaa lingine hili
 
Back
Top Bottom