FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Naelewa uwepo wa ndugu zetu ambao hamtaelewa (Mtatoka Weupe) katika mada hii. Niwaambie tu ya kwamba, Legezeni vichwa.
Kuhusu topic..
Ni perfomance zipi unazielewa zaidi na ungependa wahusika siku za mbeleni warudi tena..
Kwa upande wang..
1-One The Incredible na Roza Lee
Hawa jamaa inabidi wafanye kazi ya pamoja. Wote wana sub-etra element za kuchana KiTrump..
2- Dizasta.
Ile Bit ya Kanisa aloimbia mule ilikuwa poa sana tofauti na bit yake orignal. Namshaur Kanisa aifanyie remix kwa M'bit uleee.
3-Nikki mbishi na Maarifa the Big Thinker
Kwenye frestyle Mbishi anakwambia 'Police niachie niende mwanangu takupa rushwaa'. Nikki humu alikaza toka line ya kwanza..
Twende na top3 zako..