Dakika10 za Maangamiziiiiii..

Chuma boy & Dizasta vina.

Dizasta Vina
"Najiuliza hivi Nina Jini la aina gani/
Maana nakufa nanjaa wakati namadini kichwani/
 
East africa redio ni lini wanakuwepo wakuu hawa wazee wa punchline??
 
1.dizasta vina
2.One incredible
3.mbeya boya
4.boshoo ninja
5.kinya mistari
OVER
 
1.Roho saba,huyu jamaa alikua na fleva ya aina yake na Amonia producr(Haber process) ndo key yake
2.Songa huyu jamaa huwa siwez kumuelezea yan
3.Mwisho namaliza na stopper the rymth maker NUKTA
 
1.Roho saba,huyu jamaa alikua na fleva ya aina yake na Amonia producr(Haber process) ndo key yake
2.Songa huyu jamaa huwa siwez kumuelezea yan
3.Mwisho namaliza na stopper the rymth maker NUKTA
Tuko pamoja hivi
 
Pedeshee nasikia siku hizi mapenz pesa , Honga gari sasa utamkuta bitozi analiendesha...
Sema Boshooo Ninjaaaa! Huyu jamaaa ni moto wa kuotea mbali.
"Boshoo anglicana kama Tanga kuna Roma"
Noma sana huyu jamaa
"Siku hizi usela kazi... Ukiishi usela bila hela unaishi usela mavi".


" Utanichuna nini nina mifupa mitupu, sina kitu labda unichemshe uninywe supu"

Sema Boshoo ninjaaaa!
 
Kwangu mimi hii ndio top five niliyoielewa kwenye 10 za maangamizi
1. Miracle
2. Boshoo
3. Selementary
4. Wakiafrika
5. Nchama the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…