DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Mwigizaji wa filamu nchini marekani Lauren Kaye Scott, almaarufu DAKOTA SKYE amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles marekani.
Mwili wa Dakota Skye umekutwa Kwenye gereji ndani ya nyumba yake ukiwa umeharibika Sana.
Chanzo Cha kifo chake mpaka Sasa hakijafahamika na uchunguz bado unaendelea.
Ila taarifa za awali zinaonyesha mwili unazaidi ya wiki nzima tangu alipofariki Dunia.
KWA KIFUPI,
Dakota Skye alizaliwa April 17, 1994
Mpaka umauti unamkuta alikua tayar keshatimiza miaka 27.
Ameshiriki filamu za action zaidi ya 300 kuanzia mwaka 2013 mpaka mauti yalipomfika.
R.i.p DAKOTA SKYE,
Ni pigo kubwa sana,
Majonzi, vilio na simanzi kwenye viunga vyote vya Pollywood marekani na mashabiki wote duniani kote.[emoji26]
KIPAJI KIMEPOTEA[emoji3525]