TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Mwigizaji wa filamu nchini marekani Lauren Kaye Scott, almaarufu DAKOTA SKYE amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles marekani.

Mwili wa Dakota Skye umekutwa Kwenye gereji ndani ya nyumba yake ukiwa umeharibika Sana.

Chanzo Cha kifo chake mpaka Sasa hakijafahamika na uchunguz bado unaendelea.

Ila taarifa za awali zinaonyesha mwili unazaidi ya wiki nzima tangu alipofariki Dunia.

KWA KIFUPI,
Dakota Skye alizaliwa April 17, 1994
Mpaka umauti unamkuta alikua tayar keshatimiza miaka 27.

Ameshiriki filamu za action zaidi ya 300 kuanzia mwaka 2013 mpaka mauti yalipomfika.

R.i.p DAKOTA SKYE,

Ni pigo kubwa sana,
Majonzi, vilio na simanzi kwenye viunga vyote vya Pollywood marekani na mashabiki wote duniani kote.[emoji26]

KIPAJI KIMEPOTEA[emoji3525]
images-255.jpg

images-257.jpg

images-254.jpg
 
Huyu Dakota Skye / Dakota Sykes ana undugu na Wanasiasa maarufu na wapigania Uhuru wa Tanganyika Ally Sykes na Abdulwahid Sykes.

Wote hao ni Watoto wa Kleist Sykes mwanamgambo aliyetoka South Afrika na kuwa mpigania Uhuru wa Tanganyika miaka hiyo.

Ila yeye Dakota alipoenda USA akabaki kule, Mara kwa mara Ally Sykes amekuwa akimtembelea Dada yake kabla ya yeye kutangulia mbele za haki.

Inna llilahiwainaillahi rajiun

R.I.P Dakota
 
Huyu Dakota Skye / Dakota Sykes ana undugu na Wanasiasa maarufu na wapigania Uhuru wa Tanganyika Ally Sykes na Abdulwahid Sykes.

Wote hao ni Watoto wa Kleist Sykes mwanamgambo aliyetoka South Afrika na kuwa mpigania Uhuru wa Tanganyika miaka hiyo.

Ila yeye alipoenda USA akabaki kule, Mara kwa mara Ally Sykes amekuwa akimtembelea Dada yake kabla ya yeye kutangulia mbele za haki.

Inna llilahiwainaillahi rajiun

R.I.P Dakota
Mkuu najua lengo lako ni kumuita mtu hapa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Ayo umeyasema wewe,
Kitu Kama hukujui Bora ukae KIMYA.

Wanaomjua Dakota Skye wameshatoa ufafunuzi.

Pitia post ya mkuu Azael utoe izo tongotongo
Ufafanuzi gani bro huyo mbona ametoa historia fupi tu ya marehemu?sisi tulicho-doubt ni kazi aliyokuwa anafanya ya kuigiza video chafu za ngono kuitwa kama “muigizaji wa filam za mapigano”.

Though labda ulificha tafsida,hatujui!
 
Ilo suala la mapigano mbona lishafafanuliwa tayari na mkuu NAWATAFUNA

Vinginevyo,
Na Wewe Moyo Wako ushafanywa kua mgumu Kama wa FARAO[emoji4]
images-261.jpg
 
Back
Top Bottom