TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

Mwigizaji wa filamu nchini marekani Lauren Kaye Scott, almaarufu DAKOTA SKYE amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles marekani.

Mwili wa Dakota Skye umekutwa Kwenye gereji ndani ya nyumba yake ukiwa umeharibika Sana.

Chanzo Cha kifo chake mpaka Sasa hakijafahamika na uchunguz bado unaendelea.

Ila taarifa za awali zinaonyesha mwili unazaidi ya wiki nzima tangu alipofariki Dunia.

KWA KIFUPI,
Dakota Skye alizaliwa April 17, 1994
Mpaka umauti unamkuta alikua tayar keshatimiza miaka 27.

Ameshiriki filamu za action zaidi ya 300 kuanzia mwaka 2013 mpaka mauti yalipomfika.

R.i.p DAKOTA SKYE,

Ni pigo kubwa sana,
Majonzi, vilio na simanzi kwenye viunga vyote vya Pollywood marekani na mashabiki wote duniani kote.[emoji26]

KIPAJI KIMEPOTEA[emoji3525]View attachment 1833420

View attachment 1833421
OHOO! WENYE PESA ZAO WASHAVUNJA MKATABA..
 
Huyu Dakota Skye / Dakota Sykes ana undugu na Wanasiasa maarufu na wapigania Uhuru wa Tanganyika Ally Sykes na Abdulwahid Sykes.

Wote hao ni Watoto wa Kleist Sykes mwanamgambo aliyetoka South Afrika na kuwa mpigania Uhuru wa Tanganyika miaka hiyo.

Ila yeye Dakota alipoenda USA akabaki kule, Mara kwa mara Ally Sykes amekuwa akimtembelea Dada yake kabla ya yeye kutangulia mbele za haki.

Inna llilahiwainaillahi rajiun

R.I.P Dakota
Mkuu hii chai imezidi sukari
 
Dakota Skyes mpaka anafariki Anakadiriwa kua na utajiri unaofikia $5million sawa na Billion 11.5 za shilling za kitanzania.

Atakumbukwa sana kwa ujasili wake wa kuongoza maandamano bila woga.

Kupinga ukatili wa polisi nchini marekani kwa mmarekani mweusi GEORGE FLOYD aliyefariki kwa kukandamizwa Shingo[emoji116]
download-5.jpg
images-262.jpg
 
Hivi mkuu DeepPond hizi taarifa za hii tasnia ni unakuwa na source zako makini unasubscribe au? Maana uko deep sana na hizi mambo[emoji2]
Naangalia kawaida TU Kwenye Tv na kusikiliza Redio Kama wewe unavyosikiliza Taarifa ya habari kule TBC Fm na AZAM TV.

Kwenye upande wa FmRedio kuna
- XFM radio
-Vivid fm radio
-HOWARD STERN fm radio
-X97 fm

Kwenye Tv Kuna
-HOWARD STERN TV
-HUSTLER TV
-BRAZZERS TV
-DORCEL TV

Na nyinginezo nyingi[emoji4][emoji116]
images-263.jpg
images-264.jpg
 
Back
Top Bottom