TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

Kuanzia mwaka 2013 mpk 2021 Ni miaka Zaid ya 8 imepita.

Kwa kushiriki movie Zaid ya 300
Ni wastani wa movie 37 kila mwaka.

Whichi is reasonably very possible.
Dah....kwa muvi hizi zisizozidi nusu saa inawezekana kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu Dakota Skye / Dakota Sykes ana undugu na Wanasiasa maarufu na wapigania Uhuru wa Tanganyika Ally Sykes na Abdulwahid Sykes.

Wote hao ni Watoto wa Kleist Sykes mwanamgambo aliyetoka South Afrika na kuwa mpigania Uhuru wa Tanganyika miaka hiyo.

Ila yeye Dakota alipoenda USA akabaki kule, Mara kwa mara Ally Sykes amekuwa akimtembelea Dada yake kabla ya yeye kutangulia mbele za haki.

Inna llilahiwainaillahi rajiun

R.I.P Dakota
Zamani nilijua mtu akiitwa mohamed, ramadhani, iddy, luka, joseph, isaka au ibrahimu ni hatari maana hao wana undugu kabisa na wale manabij walioandikwa kwenye vitabu vitakatifu..
 
Zamani nilijua mtu akiitwa mohamed, ramadhani, iddy, luka, joseph, isaka au ibrahimu ni hatari maana hao wana undugu kabisa na wale manabij walioandikwa kwenye vitabu vitakatifu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom