TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

TANZIA Dakota Skye Afariki Dunia

Huyu Dakota Skye / Dakota Sykes ana undugu na Wanasiasa maarufu na wapigania Uhuru wa Tanganyika Ally Sykes na Abdulwahid Sykes.

Wote hao ni Watoto wa Kleist Sykes mwanamgambo aliyetoka South Afrika na kuwa mpigania Uhuru wa Tanganyika miaka hiyo.

Ila yeye Dakota alipoenda USA akabaki kule, Mara kwa mara Ally Sykes amekuwa akimtembelea Dada yake kabla ya yeye kutangulia mbele za haki.

Inna llilahiwainaillahi rajiun

R.I.P Dakota
ni kauongo haka
 
Mwigizaji wa filamu nchini marekani Lauren Kaye Scott, almaarufu DAKOTA SKYE amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles marekani.

Mwili wa Dakota Skye umekutwa Kwenye gereji ndani ya nyumba yake ukiwa umeharibika Sana.

Chanzo Cha kifo chake mpaka Sasa hakijafahamika na uchunguz bado unaendelea.

Ila taarifa za awali zinaonyesha mwili unazaidi ya wiki nzima tangu alipofariki Dunia.

KWA KIFUPI,
Dakota Skye alizaliwa April 17, 1994
Mpaka umauti unamkuta alikua tayar keshatimiza miaka 27.

Ameshiriki filamu za action zaidi ya 300 kuanzia mwaka 2013 mpaka mauti yalipomfika.

R.i.p DAKOTA SKYE,

Ni pigo kubwa sana,
Majonzi, vilio na simanzi kwenye viunga vyote vya Pollywood marekani na mashabiki wote duniani kote.[emoji26]

KIPAJI KIMEPOTEA[emoji3525]View attachment 1833420

View attachment 1833421

View attachment 1833422
unga noma !
 
IMG_7368.png

Huyu mtoa mada ni mpenzi wa pornograf ndio maana anajua mastaa wote.asitudanganye kuwa alicheza sinema 300 wakati video za ngono 300
 
We fala kama ni cheo, wewe umefikia level za Field Marshall. Una juhudi sana kwenye kufuatilia hii game.

Majibu yako sasa, yako na all necessary scientific evidence, statistical data, and undoubted proof. Shenzi kabisa!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hiki kichwa nilianza kukikubali kule jlw kwenye chimbo la mitaa ya madada poa wanaojiuza daaah
 
Ni pigo kubwa sana kwa Dunia nzima. Majonzi yametutawala
 
Mwigizaji wa filamu nchini marekani Lauren Kaye Scott, almaarufu DAKOTA SKYE amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles marekani.

Mwili wa Dakota Skye umekutwa Kwenye gereji ndani ya nyumba yake ukiwa umeharibika Sana.

Chanzo Cha kifo chake mpaka Sasa hakijafahamika na uchunguz bado unaendelea.

Ila taarifa za awali zinaonyesha mwili unazaidi ya wiki nzima tangu alipofariki Dunia.

KWA KIFUPI,
Dakota Skye alizaliwa April 17, 1994
Mpaka umauti unamkuta alikua tayar keshatimiza miaka 27.

Ameshiriki filamu za action zaidi ya 300 kuanzia mwaka 2013 mpaka mauti yalipomfika.

R.i.p DAKOTA SKYE,

Ni pigo kubwa sana,
Majonzi, vilio na simanzi kwenye viunga vyote vya Pollywood marekani na mashabiki wote duniani kote.[emoji26]

KIPAJI KIMEPOTEA[emoji3525]View attachment 1833420

View attachment 1833421

View attachment 1833422
Kafa mdogo sana
 
Back
Top Bottom