haha dogo umemwambia kweli huyo manzi. mimi kaka yako mzee niliwahi kumnasa mrembo mtoto wa kihaya kwa kujifanya sio mbongoland natema lugha ya beberu ile first time tu namsarandia. mrembo akanasa kwa ulimbo na ni pisi ya kwenda mwilini mpaka kichwani. basi nikaila kindezi tu namna hiyo.Hata wew kuna baadhi ya mitego ya wanaume ulinasa kwa vitu vya kijinga sana sema huwez kuweka wazi tu hapa jamvini
[emoji51][emoji51][emoji51]Kwenye kubet unaliwagwa sana
Ulipitia maumivu makali sana, Pole sana.Umenikumbusha mbali sana jinsi mwalimu alivyo nizidi kete,kumpiga mimba na kumuoa binti ambae nilimtoa bikra na tulikuwa na ahadi ya kuoana.
Wanaosema bikra ni wako mwenyewe huwa nawachungulia na kusema iiiiiiiiiiiiiiii .
Amani mkuu. Only that I never take these mitandao seriously….Chief naona wewe ndio huelewi, mimi mwenyewe sometime huwa naandika nyuzi ndefu, huwa nafanya hivyo naweza tumia siku tano kuandika hlf ikikamilika natupia kwahiyo sio jambo geni,,,, mfano yeye hupost mara tatu au nne kwa siku, angekuwa anapost mara moja tu,hlf anatayarisha mzigo wa kesho kidogo kidogo kadri anavyopata mda.
Relux Chief usipaniki
HahahahahWANAWAKE NI WATU WA AJABU SANA, UNAONA KIPINDI HIKI KUNA UHABA WA SUKARI WEWE KIDUME UNAWEZA UKAWA NAPESA ZAKO ZA KUTOSHA ILA UPO BIZE NA MAMBO YAKO HAUPAMBANII MKEO APATE SUKARI NDANI KWASABABU YA KUADIMIKA KWAKE MTAANI, UNAWEZA UKAJA KUSTUKA MKEO KAGAWA MBUSUSU KWA FALA MMOJA TU KISA KILO MBILI ZA SUKARI ILI AANDAE KEKI YA BIRTHDAY YA MWANAE, HAWA WATU NI SHIDA.
Acha tu lakini nilijifunza kukubali uamuzi wa mwenzangu japo nilifanya mistake miaka miwili baadae kwani nilimla 2 timesUlipitia maumivu makali sana, Pole sana.
@mpwayungu kwenye ule uzi wake ndio nilimvua vyeoEeeeh sisi tunajua ku clear Hali ya hewa,ndugu yetu mnamuudhi sana anaweza ahirishakusimulia Bure kama Mpwayungu....
Punguza hasira story tamu dogo endeleaJAMANI SIJAKATAA KUSHUSHA EPISODES, STORY BADO HAIJAISHA TUWE WAPOLE KWANI HUKO MBELE MTAJUA MENGI MPAKA NILILAZWA HOSPITAL KAMA WIKI NA NUSU NILIPATIWA MATIBABU HOSPITAL YA JESHI YA KANDA MKOANI TABORA. NAJUA KUNA BAADHI YA WATU WANAIFAHAM NAWASHUKURU SANA MADAKTARI WALINIPAMBANIA NIKAPONA MPAKA HAPA NILIPO NAMSHUKURU SANA MUNGU NA MADAKTARI.
NISINGEPENDA TABIA YA KUNITOLEA LUGHA ZA MATUSI IENDELEE KWANI SO VIZURI MIMI NIMEAMUA KUSHEA NA NYIE STORY HII KWA RIDHAA YANGU SIO KWAMBA MNISHURUTUSHE.
Kuna watu wanajiona sana humu na wanajifanya kila kitu wanajua, sitaki kuwatag lakini wanajiujua.
Nakushukuru sana Joannah . Upo sweet pia and lovely.Mi number Moja nakukubali sana mchizi wangu....
Mjini shule. Dume iloNakushukuru sana Joannah . Upo sweet pia and lovely.
HahahahahahaOky poa nimekupata Mkuu, ila kama nawew ni Dokta kweli basi jua upo miongoni mwa watu ambao hawana nafas katika moyo wangu take it positively nadhani hii ni psychological issue
Madokta wte mnemkosea mwambaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naelewa sana..
Usiwaze ukipata Counselling utakaa sawa
Daaah... Nyie wadada wengine...Uzinzi tu ndio unawaza hapo sio?
Mm huwa nawaambia kabisa me/ke kuomba au kutoa no za sim ndio mwanzo wa usalitiok na kwanini alimpa namba dokta mtu ambaye ni stranger? huoni demu wako ni kifafa. hiyo tu kwangu ni red alert.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo anatumaindi sanaMadokta wte mnemkosea mwambaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]