Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Hata wew kuna baadhi ya mitego ya wanaume ulinasa kwa vitu vya kijinga sana sema huwez kuweka wazi tu hapa jamvini
haha dogo umemwambia kweli huyo manzi. mimi kaka yako mzee niliwahi kumnasa mrembo mtoto wa kihaya kwa kujifanya sio mbongoland natema lugha ya beberu ile first time tu namsarandia. mrembo akanasa kwa ulimbo na ni pisi ya kwenda mwilini mpaka kichwani. basi nikaila kindezi tu namna hiyo.
 
Umenikumbusha mbali sana jinsi mwalimu alivyo nizidi kete,kumpiga mimba na kumuoa binti ambae nilimtoa bikra na tulikuwa na ahadi ya kuoana.
Wanaosema bikra ni wako mwenyewe huwa nawachungulia na kusema iiiiiiiiiiiiiiii .
Ulipitia maumivu makali sana, Pole sana.
 
Chief naona wewe ndio huelewi, mimi mwenyewe sometime huwa naandika nyuzi ndefu, huwa nafanya hivyo naweza tumia siku tano kuandika hlf ikikamilika natupia kwahiyo sio jambo geni,,,, mfano yeye hupost mara tatu au nne kwa siku, angekuwa anapost mara moja tu,hlf anatayarisha mzigo wa kesho kidogo kidogo kadri anavyopata mda.

Relux Chief usipaniki
Amani mkuu. Only that I never take these mitandao seriously….
 
IMG_3946.jpg
 
WANAWAKE NI WATU WA AJABU SANA, UNAONA KIPINDI HIKI KUNA UHABA WA SUKARI WEWE KIDUME UNAWEZA UKAWA NAPESA ZAKO ZA KUTOSHA ILA UPO BIZE NA MAMBO YAKO HAUPAMBANII MKEO APATE SUKARI NDANI KWASABABU YA KUADIMIKA KWAKE MTAANI, UNAWEZA UKAJA KUSTUKA MKEO KAGAWA MBUSUSU KWA FALA MMOJA TU KISA KILO MBILI ZA SUKARI ILI AANDAE KEKI YA BIRTHDAY YA MWANAE, HAWA WATU NI SHIDA.
Hahahahah
 
JAMANI SIJAKATAA KUSHUSHA EPISODES, STORY BADO HAIJAISHA TUWE WAPOLE KWANI HUKO MBELE MTAJUA MENGI MPAKA NILILAZWA HOSPITAL KAMA WIKI NA NUSU NILIPATIWA MATIBABU HOSPITAL YA JESHI YA KANDA MKOANI TABORA. NAJUA KUNA BAADHI YA WATU WANAIFAHAM NAWASHUKURU SANA MADAKTARI WALINIPAMBANIA NIKAPONA MPAKA HAPA NILIPO NAMSHUKURU SANA MUNGU NA MADAKTARI.

NISINGEPENDA TABIA YA KUNITOLEA LUGHA ZA MATUSI IENDELEE KWANI SO VIZURI MIMI NIMEAMUA KUSHEA NA NYIE STORY HII KWA RIDHAA YANGU SIO KWAMBA MNISHURUTUSHE.

Kuna watu wanajiona sana humu na wanajifanya kila kitu wanajua, sitaki kuwatag lakini wanajiujua.
Punguza hasira story tamu dogo endelea
 
Back
Top Bottom