Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

[emoji95]Big point,full respect for you and Bravoo broooo[emoji107][emoji817]
 
Naunga mkono hoja.

Asipo kushtua nitakushtua mm.

Tushushe story jamani
 
🤣🤣🤣Umeanza!ulifanyaga Mpwayungu akasusa uzi
Hapana. Namwelekeza tu dogo kuwa awe anatunga visa vingi vingi. Maana ni wazi hii ni story ya kutunga. So asi sikilizie sana maoni na kutwist kulingana na maoni ya wasomaji. Asichelewe wasomaji wakaanza kulalamika. Mimi natetea wasomaji. Na asijaribu kususa hapo ndo ataniona mimi mbaya sasa.
 
🤣🤣🤣Uchokozi
 
Tuendelee kunywa chai.
Kwani we unajua alikuwa anasoma course gani na Faculty gani?
Au hujui kama Chemistry pia Chuoni watu wanasoma?

Sijaona Logic yako kusema Ni chai kwa sababu tu DeMostAdmired kataja kuwa alikuwa na mtihani wa chemistry..

Sijui Elimu yako ila naanza kupata Mashaka nayo kwa sbabu your Logical Point of View iko Very Non sequitor
 
Hajui kwamba organic chemistry pia ni chemistry, inorganic pia ni chemistry, analytical pia ni chemistry, stereochemistry pia ni chemistry yeye alitaka nimfafanulie ni chemistry ipi
 
Hajui kwamba organic chemistry pia ni chemistry, inorganic pia ni chemistry, analytical pia ni chemistry, sterio chemistry pia ni chemistry yeye alitaka nimfafanulie ni chemistry ipi
Usipoteze muda kuwajibu....Tuandalie nondo. By the way nimeshakua na situation kama hio but upande wa Dr. Dogo alisafiri all the way from mzumbe kuja kunisihi nisivuruge penzi lake, thanks God nilikua msikivu, nikaumiza Binti wa watu for him ila alivyo fala akashindwa m keep Immaculata wangu.
 
Hapo ndo unajua shida haikua kwako. Shida ilikua kwao wenyewe. [emoji16][emoji16]
 
Guuud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…