kevin ken
Member
- Feb 9, 2024
- 43
- 75
[emoji95]Big point,full respect for you and Bravoo broooo[emoji107][emoji817]Unajua tatizo lako ni nini?
Unachukulia comments ,za watu Serious Sana [emoji28][emoji28]..
Pole sana Nimeona You are too Emotional!!
Kwa hicho kitu kama unataka kweli kuwa mwanaume shupavu Hupaswi kabisa Kucatch feelings..
SIfa kuu ya Mwanaume (Masculine Aspects) ni Ngozi Ngumu kwa mambo yote..
Na ndo maana hata kama mtoto wa kiume akiwa na Miaka 14 na mwanamke akiwa na miaka 30 kukitokea kitu cha Hatari bhasi yule mwanamke mwenye Miaka 30 ataenda kujificha nyuma ya Mwanaume mwenye miaka 14..
Unajua kwanini?
Anahisi yuko.salama zaidi kwa sababu anaamini mwanaume haogopi kitu..
Sasa na wewe unaniangusha kuogopa Comments za watu ambazo hazichubui wala hazikung'oi hata Unyoya wa nywele..
So You have to be A man, Son..
Its Time to Man up..
Stop Acting Weird