Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Pole sana mdogo wangu DeMostAdmired,

Kila mwanaume huwa ni lazima apitie hali hiyo ila ni mara moja tu kwa mtu mmoja.

Ukija kuipitia tena, basi utakuwa umejitakia.
Hii inshu nilichelewa kuipitia ila imekuja kunitokea kwa kimchepuko changu nilichokuwa nakiamini sana,mpaka sasa naamin hakuna mwanamke ambae wajuba wakimtaka na akaruka

Kwanza nilishangaa kinabadili funicha za ndani haraka haraka tu nikaanza kupata wasi wasi
 
Yaani alitakiwa awashe moto mpaka Mercy mwenyewe aombe pooo....eti katulia Hadi kamegewa kizembe jamani....Ilitakiwa usiku ule ule alivyoona meseji za lodge amuashe na kibao Cha ujinga pale alipolala mbona kesho yake hata kanisani asingeenda
 
Hivi mchepuko nae anauma?
Huyu nilimuamini sana na nilikuwa nimepanga kumfanya mke wa pili

Kilikuwa kipole sana hakina hata marafiki,lakin kilifanya vile kama kulipiza maana nilikuwa nimekiacha kama kukipima upendo wake,kikawa kinanibembeleza sana baada ya wiki nikaamua nirudishe majeshi kumbe kimeshanipangia kunilipizia
 
Kwasasa Wanawake wamekuwa tu kama wanaume kwenye inshu ya kugegedana yaan wanaichukulia simpo tu kama sisi wanaume ndo maana sahv unaona usaliti umekuwa mwingi
Ukimsaliti lazima nae alipize

Au ukiwa na mwanamke wako ukaoa mke wa pili,yule wa kwanza lazima aanze kukitembeza ili kukukomoa
 
Nilikuwa nasoma tu, sijacoment kitu kwenye huu uzi ila kwa neno ulilioanza nalo hapa ndo limenifanya nikoment. Majini yetu yananyonya damuuuuu[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…