Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Hii inshu nilichelewa kuipitia ila imekuja kunitokea kwa kimchepuko changu nilichokuwa nakiamini sana,mpaka sasa naamin hakuna mwanamke ambae wajuba wakimtaka na akarukaPole sana mdogo wangu DeMostAdmired,
Kila mwanaume huwa ni lazima apitie hali hiyo ila ni mara moja tu kwa mtu mmoja.
Ukija kuipitia tena, basi utakuwa umejitakia.
Kwanza nilishangaa kinabadili funicha za ndani haraka haraka tu nikaanza kupata wasi wasi