DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nilitaka kusema hili😀😀Yaani alitakiwa awashe moto mpaka Mercy mwenyewe aombe pooo....eti katulia Hadi kamegewa kizembe jamani....Ilitakiwa usiku ule ule alivyoona meseji za lodge amuashe na kibao Cha ujinga pale alipolala mbona kesho yake hata kanisani asingeenda
Unapost hadi picha halafu mijitu mingine inasema ni chai, ila mwanangu hako kamwili unaonekana kama una upungufu wa lishe, mademu walikuwa wanaangalia nini kukutongoza?Hapa tulienda na Mercy kuzurula ilikuwa ni weekend alinipigia hii picha
Uoga kwemye mapenz hautakiwi hata kidogo kwenye mapenz tena sana sana kwa mwanaume🤣🤣🤣🤣🤣Mi
Sio upole,alimpenda sana Hadi akawa anamuogopa....UOGA ndio chanzo
🤣🤣🤣Unapost hadi picha halafu mijitu mingine inasema ni chai, ila mwanangu hako kamwili unaonekana kama una upungufu wa lishe, mademu walikuwa wanaangalia nini kukutongoza?
Sio Mazimbu hii wajameni pale BarakudaHapa tulienda na Mercy kuzurula ilikuwa ni weekend alinipigia hii picha
Simu nalala nikiamka naicha kwenye uzi huu huu mpaka uishe 🤣🤣Mmmmh🤦🤦🤦hebu ngoja tuone...maana hata nikiamka usiku nakukuta umetulia kwenye Uzi huu
Wanawake hasa wa Kiafrika bila udikteta kidogo mambo hayaendiUoga kwemye mapenz hautakiwi hata kidogo kwenye mapenz tena sana sana kwa mwanaume
Wewe mpuuzi hii picha huja-screenshot kwenye horror movie za mazombie?Hii picha ilikuwa ni siku ya birthday ya rafikiangu Mbwambo aliyeniokoa nisimgonge Mercy fek pale rum kwake.
Wale ukutani ni mimi na Mercy
Mm nime sabukraibu kaka ...na mtoa thread sijui kaenda churchSimu nalala nikiamka naicha kwenye uzi huu huu mpaka uishe [emoji1787][emoji1787]
Mpuuzi bibiakoWewe mpuuzi hii picha huja-screenshot kwenye horror movie za mazombie?
Wewe unampeleka kuzulula kwenye reli amekua treni huyo. Wakati huo huo Dr. anampeleka Nashera akaogelee [emoji16][emoji16]Hapa tulienda na Mercy kuzurula ilikuwa ni weekend alinipigia hii picha
[emoji16][emoji16] dah roho mbaya tuuWewe unampeleka kuzulula kwenye reli amekua treni huyo. Wakati huo huo Dr. anampeleka Nashera akaogelee [emoji16][emoji16]
Natania mkuu. Tushushe story tu enjoy.
Mimi nilikua kama Dr namkulq Mecy (Immaculate) alinifuata kuomba nimuache Mecy wake as wametoka mbali na anampenda nami nilikua msikivu nikamuachia Mecy wakeKwamba wewe ndio yule Bro aliyekuwa anapiga ganja na ndiye uliyempiga Dokta mkwara hewa[emoji2][emoji2][emoji2]
Mercy alishaona hata kuchukua tahadhari unapopita kwenye reli huchukui.Hapa tulienda na Mercy kuzurula ilikuwa ni weekend alinipigia hii picha
@DeMostAdmired tabora moja hiyo sindio?Hapa tulienda na Mercy kuzurula ilikuwa ni weekend alinipigia hii picha
Yaani lengo ni kumkomoa tu kwa kua alishamchimba biti ndo maanaIta always end in tears. Sema nn mwanangu ikitosha tu kupiga na kukaa kimya. Maswala ya kumtambia mwana ni uwaki huo
Yeah hiyo Mboka mzee@DeMostAdmired tabora moja hiyo sindio?