DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nilitaka kusema hili😀😀Yaani alitakiwa awashe moto mpaka Mercy mwenyewe aombe pooo....eti katulia Hadi kamegewa kizembe jamani....Ilitakiwa usiku ule ule alivyoona meseji za lodge amuashe na kibao Cha ujinga pale alipolala mbona kesho yake hata kanisani asingeenda
Nikaona Mtanijia Juu wanawake kwa unyanyasaji wa kijinsia 😀😀
Ilitakiwa avimbe angalau mashavu🤣