Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Nahisi ndio kilichotokea,doctor unatembea mule mule ndio sababu Joannah anahis wewe ndio mhusika
 
"Mercy alinichek ilikuwa ni mida ya sa12 jioni akanambia hatoweza kuja atalal hukohuko, ilikuwa ni kwa mesej nikamjibu short "poa" naye akatuma mguno "mh" sikumjihu nikapotezea."

Hapo ingekua mimi ningemfowadia ile meseji ya dokta
 
Wewe ni mwamba aisee,mwanaune anatakiwa awe hivyo
 
Kitu ambacho wanaume wenzangu wengi hawakijui, hasa hawa wa kisasa, ni kuwa: mwanamke atakusamehe makosa yote isipokuwa la kuwa dhaifu. Ukionesha udhaifu tu, umekwisha. Atakuadhibu squarely, hautakuja kumsahau.
Bitter truth hata mimi sipendi mwanaume dhaifu
Juzi kuna mtu aliandika mada fulani kuhusu mwanamke humuhumh nimemsahau akasema wnaawake tuko vice versa the guy kasema ukweli mtupu kiasi kadhaa kikubwa cha asilimia
 
Udhaifu wa mapenzi kwake ,ama udhaifu wa kujiliza ili akuonee huruma. Ila uelewe Kama Ni mapenzi mtu akikupenda kiasi kwamba awaone wengine Ni wabaya ama Hana hisia nao hiyo Ni mbaya zaidi.

Nashukuru nishapita hizo zama
 
Bitter truth hata mimi sipendi mwanaume dhaifu
Juzi kuna mtu aliandika mada fulani kuhusu mwanamke humuhumh nimemsahau akasema wnaawake tuko vice versa the guy kasema ukweli mtupu kiasi kadhaa kikubwa cha asilimia
Bahati mbaya dunia inapambana kuwadhoofisha wanaume. Siku hizi:
  • Mwanaume kupika, kuosha vyombo, kufua, na house chores nyinginezo na mwanamke akiwepo imekuwa ujanja
  • Mwanamke kuwa breadwinner wa familia ndiyo habari ya mjini, Unakuta mwanaume na akili zake timamu kabisa anatafuta mwanamke wa kusaidiana naye kutafuta mkate wa familia!
  • Mwanaume kuongozwa na mwanamke wala siyo jambo la ajabu
Wanaume tumekuwa dhaifu kupita kiasi. Sijui hata tunaelekea wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…