atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kuna mahali nilisema huyo hana kifua(khaba)Duh huyo doctor naye SA anakupa taarifa ili iweje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahali nilisema huyo hana kifua(khaba)Duh huyo doctor naye SA anakupa taarifa ili iweje
SureDr hakumpenda Mercy,,alitaka tu kuonyesha ubabe
Nahisi ndio kilichotokea,doctor unatembea mule mule ndio sababu Joannah anahis wewe ndio mhusikaNAhisi kwa sababu wao walimfata kumwambia aachane na mercy..
Na hilo ni kosa kubwa sana Alilofanya DeMostAdmired kama Mwanaume..
Mwanaume yoyote ukimfata kumshurutisha kitu ambacho hajakifanya ni kama unamtilia Petroli kwenye Moto na kumwambia.."Lets Race" yaani walivyomfata siku ile ni kama Dr alikuwa anasikia "Are you ready for Ruuuumbbleeee"
Na ndo maana alifanya kila njia achape hiyo kitu na Nakuhakikishia kuwa akishachapaa mara kadhaa akiona kaishinda mecho anamtema
Mkuu tatizo mm sio mwandishi mzuri na ukizingatia majukumu ndio kabisaMkuu em tushushie story
"Mercy alinichek ilikuwa ni mida ya sa12 jioni akanambia hatoweza kuja atalal hukohuko, ilikuwa ni kwa mesej nikamjibu short "poa" naye akatuma mguno "mh" sikumjihu nikapotezea.""NDUGU ZANGU NIMEPIKA CHAKULA NI KITAMU SANA HAPA KARIBU LUNCH"
Tuendeleee....
Hii ni experience ambayo sidhani kama nitakuja kukutana nayo tena katika maisha yangu maana nilijikuta kama nipo dunia nyingine kabisa ilojaa kila aina ya tabu na mateso. Na nilijifunza mengi na ilinifanya niwe makini lakini pia mvumilivu katika ulimwengu wa mapenz na vibweka vyake
Kuna muda nilikuwa napatwa na mawazo ya kijinga nikawaza nimuwinde Dokta nimpige hata na mawe lakini nikawa narelax nakuyapotezea hayo mawazo ya kijinga na kitoto.
Mercy alinichek ilikuwa ni mida ya sa12 jioni akanambia hatoweza kuja atalal hukohuko, ilikuwa ni kwa mesej nikamjibu short "poa" naye akatuma mguno "mh" sikumjihu nikapotezea.
Sikumtafuta tena mpka kesho ikafika, ilikuwa ni j3 niliamka nikajiandaa kwenda chuo, chakushangaza nilipofika chuo nikamkuta Mercy tayar kashafika chuo. Nikamsalimia basi tukaendelea na pindi.
Sasa kuna mshikaji wangu huyo alikuwa anapenda kunipasua sana kuhusu Mercy anasema Mercy nawewe hamuendani na atakuumiza tu. Huyu jamaa alikuwa ni wale wakujichetua alikuwa anaropoka ropoka sana na mautani mengi.
Alipokuwa ananambia vile sikuwa naweka naye ligi nilikuwa namuacha tu aongee mpka aridhike. Sasa baada ya kipindi jamaa akanifata anaitwa James huyu mwamba, jamaa kanifata akanambia leo Mercy kashushwa kwenye gari nikastuka sana nikamuliza gari aina gani, akanijibu ni X-trail. Nikakumbuka siku ile tulivoenda na bro kuongea na Dokta pembeni kulikuwa na Nissan X-trail basi nikajionea huruma nikaishiwa nguvu.
Nikawaza inamaana Mercy kaamua kuonesha kabisa kwamba haina haja tena ya kuficha ujinga wake.
Baada ya kumalizana na James nikaona liwalo na liwe ngoja nimulize Mercy, nikamfata alikuwa back bench anapitia pitia cm yake nilivofika nikakaa pembeni yake, nikamuliza Mercy chuo umefika sangap? Akasema alipata lift ya anko wake alikuwa anaelekea mahali karibu na chuoni kwahyo akampitisha chuo. Nikamuliza hiyo gari ilokuleta unauhakika niya anko wako? Akanijibu ndio ni ya anko. Nikajikuta nalopoka "Ile gari ni ya Dokta na ndiye alikuleta chuo Leo".
Mercy alivosikia vile nahisi akapata loop hole ya kuniingia akajibu ndio ni yeye hafu akapenya kwenye desk pale akapita akasepa. Akasema tena ni Dokta ndio si ndo ulitaka kuambiwa hivo ili uridhike, nikainama kwenye desk huku natoa machozi. Hii ni kweli siwez vunga nilitoa machozi lakini nilikuwa nimeinama kwenye desk na kitambaa najifuta futa. Uzuri palikuwa na watu wachache sana na walikuwa bize na mambo yao sidhani kama waliosikia ule mzozo wangu na Mercy.
Baada ya pale nikakumbuka Mercy fek alikuwa ashanitumia zile pics za chats nikaunganisha na zile Dokta alikuwa anatuma basi nikamtupia Mercy kupitia whatsap. Nikiambatanisha na ujumbe "hivi Mercy nini kimekupata? Inamaana umetekwa na pesa za Dokta kumbuka hizo pesa ni zake na familia yake atakuja kuharibika maisha huyo". MERCY hakujibu chochote, aliniblue tick tu ikabid nimtafute rafiki wa Mercy anaitwa Recho nikamsihi aongee na Mercy kwani anachokifanya sio kizuri ukizingatia tuoo semester ya mwisho ataniharibia masomo.
Recho alikubali akaongea na Mercy lakini Mercy hakumpa majibu ya kuridhisha kifupi hakuonesha wazi kwamba yupo wa Dokta au yupo kwangu majibu sahihi alibak nayo Mercy mwenyewe.
Nikawa namtumia mesej Mercy lakini alikuwa hajibu sm hapokei nilifanya vile kwa siku mbili mfululizo nikaona ni bora nijikaze nitulie nione whats next.
Hali ilizid kuwa mbaya kwani Mercy alizid kuwa chui kwangu, nakumbuka kuna siku tulikuwa kwenye kimbweta na washkaji zangu wakiwemo Mbwambo na James tulikuwa tunapitia pitia researches zetu. Ghafla tukaona gari kwamba mbali kidogo kama mita mia hivi ilikuwa ni gari ya Dokta kwan nilikuwa naijua kwakua gari ilikuwa mbali basi tulioiona tulikuwa ni mimi na Mbwambo tu kwan tulikuwa tumekaa kuelekea uelekeo sawa, na huyu mshikaji alikuja kuwa msaada sana kwangu hapo baadae hakika ni rafiki mzuri kwangu.
Kuangalia vizuri tulimshuhudia Mercy akishusha katika Ile gar akasepa zake venue, nilitaka nimchek Mercy nimwambia kwamba anachofanya sio vzr nilimshirikisha Mbwambo na nikamwambia kila kitu kuhusu hali ilokuwa inaendelea kati yangu na Mercy.
Mbwambo akanambia acha usimtumie mesej act kama hujamuona kwani Mercy tyr akili yake haipo kwako kwahyo hata ukifanya vile utajichoresha tu na atakuona unateseka sana na atajiona mshindi kwahyo wewe mute tu as if hujaona chochote.
Siku ile ilipita na ilikuwa kama siku3 mfululizo bila kuongea wala kukutana na Mercy.
Siku hiyo ilikuwa ni siku ya kutoka kwa matokeo ya semester ya1 ya mwaka wa3, matokeo yalivotoka Mungu mkubwa mimi sikuwa na sup na nilikuwa na GPA ya 4.1 Mercy alikuwa na sup moja ya analytical chemistry na GPA ya 3.9, Basi nikaona kwa sabab sijafeli inatakiwa nikaze japo kwa ugumu hivohivo ili nisipate sup ile semester ya mwisho.
Yale mateso kutoka kwa Mercy yalianza kuniathiri kiakili na kisaikorojia pasipo mwenyewe kustuka maramoja.
See you ........
===
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] inaelekea wewe ndio ulikua unamgongea jamaa
Wewe ni mwamba aisee,mwanaune anatakiwa awe hivyoNilishafuma msg ya jamaa kwenye simu ya demu wangu chuo, nikachukua ile namba nikampigia simu jamaa kwamba mimi ni boyfriend wa demu chuo.
Ila kwa kuwa ameamua kutuchanganya tumchanue mapaja kwa kwenda mbele kama malaya.
Jamaa akampigia simu demu akamweleza jinsi nilivyomweleza, demu akaja getho analia, nikamwambia ndio wewe ni malaya.
Demu akaamua kumpiga chini jamaa lakini na mimi nikaanza fungulia rungu, kula mademu mbalimbali wakali chuoni. Ilimuuma sana akawa anaenda kupigana nao. Ila mpaka mwisho wa masomo nilimtreat kama malaya tuu
Nimeanza kuwa na mashaka na hizi ID mbili[emoji848]Muelezee aelewe kuna biochemistry kuna environmental chemistry nk
ZipiNimeanza kuwa na mashaka na hizi ID mbili[emoji848]
Si ndyo hapo sasaImagine Mtu unasukumwa nusu ya kuanguka kitandani,halafu yeye anasoma meseji kimyakimya jamani🙄🙄🙄
Utajua hujuiZipi
PoaUtajua hujui
Bitter truth hata mimi sipendi mwanaume dhaifuKitu ambacho wanaume wenzangu wengi hawakijui, hasa hawa wa kisasa, ni kuwa: mwanamke atakusamehe makosa yote isipokuwa la kuwa dhaifu. Ukionesha udhaifu tu, umekwisha. Atakuadhibu squarely, hautakuja kumsahau.
Udhaifu wa mapenzi kwake ,ama udhaifu wa kujiliza ili akuonee huruma. Ila uelewe Kama Ni mapenzi mtu akikupenda kiasi kwamba awaone wengine Ni wabaya ama Hana hisia nao hiyo Ni mbaya zaidi.Bitter truth hata mimi sipendi mwanaume dhaifu
Juzi kuna mtu aliandika mada fulani kuhusu mwanamke humuhumh nimemsahau akasema wnaawake tuko vice versa the guy kasema ukweli mtupu kiasi kadhaa kikubwa cha asilimia
Mimi naona mapenz siyo vita kukomoanaBitter truth hata mimi sipendi mwanaume dhaifu
Juzi kuna mtu aliandika mada fulani kuhusu mwanamke humuhumh nimemsahau akasema wnaawake tuko vice versa the guy kasema ukweli mtupu kiasi kadhaa kikubwa cha asilimia
Bahati mbaya dunia inapambana kuwadhoofisha wanaume. Siku hizi:Bitter truth hata mimi sipendi mwanaume dhaifu
Juzi kuna mtu aliandika mada fulani kuhusu mwanamke humuhumh nimemsahau akasema wnaawake tuko vice versa the guy kasema ukweli mtupu kiasi kadhaa kikubwa cha asilimia